Thursday, September 13, 2018

Dunia yamuaga Kofi Annan Waombolezaji wanatoa heshima zao za mwisho kwa katibu mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan, kabla ya mazishi yake. Annan alifariki dunia Agosti 18 akiwa na umri wa miaka 80 katika hospitali nchini Uswisi. Nenda kwenye makala  en  fr  sv

Viongozi wa sasa na wastafu wa dunia, watawala wa kijadi na watu wengine mashuhuri wanahudhuria sherehe ya kumuaga Annan, inayofanyika katika jumba la mikutano ya kimataifa mjini Accra, ikiashiria mwisho wa siku tatu za maombolezi kwa mwanadiplomasia huyo anaeheshimika kote duniani.

deutschewelle-sw 12:38:00 PM CEST

1 day before.

Kitaifa Kofi Annan kuzikwa kesho Accra Similarity: 0.78

en

Former UN chief Kofi Annan to be buried after state funeral Similarity: 0.49

fr

Le Ghana enterre l'ancien secrétaire général des Nations unies, Kofi Annan Similarity: 0.51

sv

04:31 NYHETER Presidenter och diplomater tar farväl av Annan Efterträdaren António Guterres – liksom en rad stats- och regeringschefer – är på plats när FN:s legendariske… Similarity: 0.50

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Kofi Annan (2)

Nana Akufo Addo (1)

Antonio Guterres (1)

Mohammed Khelef (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center