Sunday, April 14, 2019

Waandamanaji Sudan wadai utawala wa kiraia haraka Watayarishaji wa maandamano nchini Sudan ambayo yamelazimisha kiongozi wa muda mrefu al-Bashir kuondolewa madarakani wanalitaja jeshi kukabidhi madaraka, "mara moja na bila masharti" kwa serikali ya mpito ya kiraia  da  en  es

Waandamanaji wamedai kuundwa serikali ya kiraia haraka iwezekanavyo na bila masharti ambayo itatawala kwa muda wa miaka minne. Vyama vya kisiasa na vuguvugu lililokuwa nyuma ya miezi minne ya maandamano vimesema katika taarifa ya pamoja jana Jumamosi (13.04.2019) kwamba watabaki mitaani hadi pale madai yao yatakapofikiwa.

deutschewelle-sw 2:22:00 PM CEST

6 days before.

Sudan: Wanajeshi waingilia kati kuwanusuru waandamanaji Hatua ya wanajeshi wa Sudan ni kwa ajili ya kuwalinda waandamanaji baada ya vikosi vya usalama kujaribu kuvunja maandamano ya maelfu ya watu walioweka kambi nje ya Wizara ya Ulinzi katikati ya mji mkuu, Khartoum. Similarity: 0.56

5 days before.

Miito yatolewa kuwepo na kipindi cha mpito Sudan Mataifa ya Magharibi yameungana na waandamanaji wa Sudan wanaodai mpango wa mpito wa kisiasa huku jeshi likiachana kuwatawanya waandamanaji waliopiga kambi nje ya makao makuu yao. Similarity: 0.55

3 days before.

Sudan: Al-Bashir huenda amejiuzulu, jeshi kutoa taarifa Taarifa nchini Sudan zinasema rais Omar al-Bashir amelazimishwa na jeshi kujiuzulu,na jeshi la nchi hiyo limesema lingetoa taarifa muhimu hivi karibuni. Haya yanafuatia miezi kadhaa ya maandamano dhidi ya Bashir. Nenda kwenye makala Similarity: 0.57

2 days before.

Waziri wa ulinzi wa Sudan aapishwa rais wa mpito Waziri wa ulinzi wa Sudan Awadh Ibn Auf ameapishwa kuwa rais wa baraza la mpito la kijeshi ambalo kulingana na jeshi litaongoza kwa kipindi cha miaka miwili ya mpito. Similarity: 0.65

1 day before.

Jenerali Burhan aahidi kuundwa kwa serikali ya kiraia Sudan Mkuu mpya wa baraza la kijeshi la mpito nchini Sudan Jenerali Abdel Fattah al-Burhan ameahidi kufanya mabadiliko ya taasisi za iliyokuwa serikali ya Omar al-Bashir na kuundwa kwa serikali ya kiraia. Nenda kwenye makala Similarity: 0.66

1 day after.

Sudan: Jeshi lashindwa kuwaondoa waandamanaji Waandamanaji wa Sudan bado wamekaa nje ya makao makuu ya jeshi katika jiji la Khartoum baada ya kufaulu kulizuia jeshi kuusambaratisha mkusanyiko wao katika harakati za kuendeleza maaandamnao yao. Similarity: 0.63

3 days after.

Omar al Bashir ahamishwa katika jela la Kobar Viongozi wa kijeshi wa Sudan wamemhamishia rais aliyepinduliwa Omar al-Bashir katika jela ya Khobar ya mji mkuu Khartoum. Duru za kuaminika zinasema anashikiliwa peke yake na katika ulinzi mkali. Similarity: 0.57

5 days after.

Waratibu wa maandamano Sudan kutangaza baraza la kiraia Wandalizi wa maandamano Sudan wamesema Ijumaa kwamba watatangaza baraza la mpito wanalotaka lichukue mamlaka kutoka kwa jeshi lililomuondoa madarakani rais Omar al-Bashir, baada ya miezi kadhaa ya maandamano ya kumpinga. Nenda kwenye makala Similarity: 0.69

da

Lederen af Sudans torsdagskup træder tilbage Similarity: 0.30

en

Streets of Sudan flood with thousands of protesters Similarity: 0.31

es

El nuevo jefe de la junta militar de Sudán levanta el toque de queda Similarity: 0.32

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Omar el-Bashir (1)

Abdel-Fattah Burhan (1)

Awad ibn Ouf (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center