Friday, March 15, 2019

Wabunge wa Uingereza wachagua kurefusha Brexit Wabunge wa Uingereza wamechukua msimamo kuhusu suala zima la kuongezwa muda wa kujitowa katika jumuiya hiyo badala ya tarehe 29 ya mwezi huu.  da  de  en  it  nl  sl  tr

Katika mkwamo kuhusu Brexit , wanasiasa wa Uingereza wamechagua kuuchelewesha. Baada ya wiki za mkwamo wa kisiasa, bunge la Uingereza jana lilipiga kura kutafuta kuahirisha kuondoka kwa nchi hiyo kutoka Umoja wa Ulaya , hatua ambayo huenda ikaepusha kujitoa katika hali ya mvurugiko katika muda uliopangwa wa kujitoa tarehe 29 Machi.

deutschewelle-sw 5:45:00 AM CET

2 days before.

Bunge la Uingereza laukataa mpango wa May kuhusu Brexit Wabunge wa Uingereza wamepiga kura kuupinga mpango wa Waziri Mkuu, Theresa May wa nchi hiyo kujiondoa katika Umoja wa Ulaya, maarufu kama Brexit. Nenda kwenye makala Similarity: 0.82

1 day before.

Wabunge wazuia Uingereza kuondoka EU bila makubaliano Wabunge wa Uingereza wamepiga kura kuizuia nchi hiyo kuondoka katika Umoja wa Ulaya bila ya kufikiwa makubaliano ya aina yoyote. Nenda kwenye makala Similarity: 0.76

7 days after.

Umoja wa Ulaya waipa Uingereza muda zaidi wa Brexit Viongozi wa Umoja wa Ulaya wameipa Uingereza muda zaidi wa kujiondoa katika umoja huo kwa njia salama, kwa kuchelewesha mchakato wa Brexit kwa wiki kadhaa Similarity: 0.79

da

Stort flertal i det britiske parlament søger om udskydelse af Brexit Similarity: 0.36

de

10:13 Newsticker Fünf Lehren aus dem Brexit-Drama Similarity: 0.42

en

Brexit: Jeremy Corbyn sacks Labour rebels who voted to block second referendum Similarity: 0.39

it

Brexit, Barnier: "Separazione ordinata, unico trattato disponibile" Similarity: 0.33

nl

Het Lagerhuis stemt voor uitstel Brexit en tegen tweede referendum Similarity: 0.42

sl

Vlada potrdila predlog zakona za primer brexita brez dogovora Similarity: 0.38

tr

Brexit anlaşması haftaya tekrar sunulacak Similarity: 0.35

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Theresa May (3)

David Lidington (1)

Jeremy Corbyn (1)

Jeremy Korbyn (1)

Grace Patricia Kabogo (1)

Harrison Mwilima (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center