Saturday, January 12, 2019

Fayulu kuwasilisha pingamizi dhidi ya matokeo ya uchaguzi Mshindi wa pili katika uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo Martin Fayulu ametangaza jana Ijumaa kuwa atawasilisha pingamizi mahakamani dhidi ya matokeo ya uchaguzi wa rais Nenda kwenye makala  en

Wakati huo huo , wakati muungano wake wa upinzani umesisitiza kwamba alipata asilimia 61 ya kura kwa mujibu wa uchunguzi wa waangalizi wa kanisa katoliki lenye ushawishi mkubwa . Fayulu alizungumza na mamia kwa maelfu ya waungaji wake mkono ambao walikusanyika katika mji mkuu Kinshasa, kupinga kile walichokiita "ushindi wa wananchi ulioibiwa.

deutschewelle-sw 6:36:00 AM CET

7 days before.

Congo ipo kwenye njia panda ikisubiri matokeo ya uchagzuzi Wasiwasi umetanda mjini Kinshasha wakati watu wakisubiri kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi. Baadhi ya wananchi wanahofia kuzuka ghasia katika nchi hiyo anasema mwandishi wa DW Jonas Gerding. Similarity: 0.55

6 days before.

Tume ya uchaguzi Congo yaahirisha kutoa matokeo Tume ya uchaguzi ya DRCongo imechelewesha kutangaza matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais,huku kukiwa ongezeko la mbinyo kutoka mataifa yenye nguvu na kanisa Katoliki kuheshimu matakwa ya wapiga kura. Similarity: 0.60

4 days before.

Wacongo waendelea kusubiri matokeo ya uchaguzi Similarity: 0.58

3 days before.

Matokeo ya uchaguzi wa rais Congo Kinshasa yatarajiwa Matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais katika jamhuri ya kidemokrasi ya Congo yanatarajiwa kutangazwa wakati wowotwe. Mgombea wa upinzani Martin Fayulu ametahadharisha dhidi ya kutangazwa matokeo ambayo si ya kweli. Similarity: 0.75

2 days before.

Felix Tshisekedi atangazwa mshindi wa urais DR Congo Felix Tshisekedin ametangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Desemba 30 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ikiashiria ubadilishanaji madaraka wa amani kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo. Similarity: 0.78

1 day before.

Congo yatolewa mwito kuwa watulivu Mataifa yazungumzia kwa uangalifu mkubwa matokeo ya uchaguzi wa uraisi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yaliyotangazwa mapema jana. Wengi wajiepusha kumpongeza mshindi Felix Tshisekedi. Nenda kwenye makala Similarity: 0.81

en

DR Congo election runner-up files court challenge to result DR Congo presidential runner-up Martin Fayulu has asked the constitutional court to order a recount in the country’s disputed election, declaring: “You can’t... Similarity: 0.36

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Joseph Kabila (2)

Félix Tshisekedi (2)

Daniel Gakuba (1)

Grace Patricia Kabogo (1)

Emmanuel Ramazani Shadary (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center