Thursday, January 10, 2019

Felix Tshisekedi atangazwa mshindi wa urais DR Congo Felix Tshisekedin ametangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Desemba 30 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ikiashiria ubadilishanaji madaraka wa amani kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo.  da  de  en  fr  it  no  pt  sv

Tume ya taifa ya uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, CENI, imetangaza ushindi wa Tshisekedi alfajir ya leo Alhamis, na ushindi huo umekuwa wa kushtukiza kwa wengi ambao walishuku kuwa matokeo hayo yangebadilishwa ili mgombea wa muungano wa vyama tawala, Emmanuel Ramazani Shadary awe ndie mshindi.

deutschewelle-sw 5:51:00 AM CET

7 days before.

Huenda matokeo ya mwanzo ya uchaguzi wa Congo yakacheleweshwa Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo CENI, Corneille Nangaa amesema huenda wakasitisha zoezi la kutoa matokea ya mwanzo katika uchaguzi wa rais uliomalizika hivi karibuni. Similarity: 0.63

6 days before.

Kanisa Katoliki Congo ladai kumjua aliyeshinda urais Congo Kanisa Katoliki lenye ushawishi mkubwa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo limesema kuwa linafahamu aliyeshinda uchaguzi wa rais ambao matokeo yake yamecheleweshwa mno. Similarity: 0.63

5 days before.

Congo ipo kwenye njia panda ikisubiri matokeo ya uchagzuzi Wasiwasi umetanda mjini Kinshasha wakati watu wakisubiri kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi. Baadhi ya wananchi wanahofia kuzuka ghasia katika nchi hiyo anasema mwandishi wa DW Jonas Gerding. Similarity: 0.59

4 days before.

Tume ya uchaguzi Congo yaahirisha kutoa matokeo Tume ya uchaguzi ya DRCongo imechelewesha kutangaza matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais,huku kukiwa ongezeko la mbinyo kutoka mataifa yenye nguvu na kanisa Katoliki kuheshimu matakwa ya wapiga kura. Similarity: 0.63

2 days before.

Wacongo waendelea kusubiri matokeo ya uchaguzi Similarity: 0.54

1 day before.

Matokeo ya uchaguzi wa rais Congo Kinshasa yatarajiwa Matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais katika jamhuri ya kidemokrasi ya Congo yanatarajiwa kutangazwa wakati wowotwe. Mgombea wa upinzani Martin Fayulu ametahadharisha dhidi ya kutangazwa matokeo ambayo si ya kweli. Similarity: 0.77

2 days after.

Fayulu kuwasilisha pingamizi dhidi ya matokeo ya uchaguzi Mshindi wa pili katika uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo Martin Fayulu ametangaza jana Ijumaa kuwa atawasilisha pingamizi mahakamani dhidi ya matokeo ya uchaguzi wa rais Nenda kwenye makala Similarity: 0.78

da

Observatører: DRCongo fik alligevel ikke sit demokratiske valg Similarity: 0.44

de

Félix Tshisekedi Der Wahlsieger im Kongo ist eine Überraschung Similarity: 0.34

en

An 'electoral coup' in the Democratic Republic of Congo? Similarity: 0.43

fr

L'opposant Tshisekedi proclamé vainqueur de la présidentielle en RDC Similarity: 0.30

it

Congo, vittoria "provvisoria" di Tshisekedi. Il candidato dell'opposizione: "Un golpe elettorale" Similarity: 0.34

no

Australia: Mistenkelige pakker ved ambassader Similarity: 0.34

Arild Øyen om Kongo: – Historisk maktskifte Similarity: 0.32

pt

Contestação dos resultados deve ser pacífica - União Africana Similarity: 0.45

sv

02:10 NYHETER Resultatet i Kongo-Kinshasas val ifrågasätts Oppositionsledaren Félix Tshisekedi vann presidentvalet i Kongo-Kinshasa med 38,57 procent av rösterna och utses… Similarity: 0.34

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Joseph Kabila (6)

Etienne Tshisekedi (3)

Jean-Pierre Bemba (1)

Mobutu Sese Seko (1)

Jean-Yves Le Drian (1)

Laurent Kabila (1)

Vital Kamerhe (1)

Félix Tshisekedi (10)

Martin Fayulu (7)

Emmanuel Ramazani Shadary (3)

Saleh Mwanamilongo (2)

Emmanuel Shadari (1)

Antonio Cascais (1)

Felix Antoine Tsisekedi Tshilombo (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center