Wednesday, October 10, 2018

Erdogan: Tunasubiri matokeo ya uchunguzi kuhusu Khashoggi Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema atasubiri matokeo ya uchunguzi kuhusu kutoweka kwa mwandishi wa habari Khashoggi kabla kufanya maamuzi. Polisi wanaamini Khashoggi aliuawa na maafisa waliotumwa Istanbul  da  de  en  nl  no  pt  sv  tr  fa  hu

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema kuwa anasubiri matokeo ya uchunguzi kuhusu kutoweka kwa mwandishi habari wa Saudi Arabia Jamal Khashoggi, ambaye chanzo cha habari serikalini kilisema aliuawa ndani ya ubalozi mdogo wa Saudi Arabia ulioko Istanbul.

deutschewelle-sw 4:19:00 AM CEST

2 days before.

Mkasa wa mwandishi habari Jamal Khashoggi Maafisa wa Uturuki wamedai kuwa mwandishi habari wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi, ameuliwa wakati alipokuwamo kwenye ubalozi mdogo wa Saudi Arabia mjini Istanbul lakini Saudi Arabia imezikanusha tuhuma hizo Similarity: 0.88

1 day before.

Uturuki kuchunguza ubalozi mdogo wa Saudi Arabia Wizara ya mambo ya nchi za nje ya uturuki imesema maafisa wa Saudi Arabia wamekubali ubalozi wao mdogo ulioko Istanbul uchunguzwe kuhusiana na kutoweka kwa mwandishi habari Jamal Khashoggi anayedaiwa aliuawa ndani ya ubalozi huo mdogo. Similarity: 0.85

2 days after.

Uturuki yaishutumu Saudi Arabia kuhusiana na suala la Kashoggi Vyombo vya habari vya Uturuki vimeripoti kuwa maafisa wa Uturuki wanasauti na picha zilizorekodiwa zinazothibitisha kuwa mwandishi wa habari wa Saudi Arabia Jamal Khashoggi aliuawa mapema mwezi huu Oktoba. Similarity: 0.87

3 days after.

Trump kuiadhibu vikali Saudia kutokana na kupotea Khashoggi Rais wa Marekani, Donald Trump amesema Saudi Arabia huenda ikawa inahusika na kutoweka kwa mwandishi habari wa Saudia, Jamal Khasshogi na ameonya kuwa Marekani itachukua hatua kali iwapo mwandishi huyo ameuawa. Nenda kwenye makala Similarity: 0.83

5 days after.

Kisa cha kupotea mwanahari Jamal Khashoggi bado ni kizungumkuti Uturuki imesema serikali yake na Saudi Arabia zitatafanya ukaguzi wa pamoja katika ubalozi mdogo wa Saudi Arabia mjini Istanbul wiki mbili baada ya kupotea mwanahabari wa gazeti la Washington Post Jamal Khashoggi Similarity: 0.82

6 days after.

Pompeo awasili Riyadh kwa mazungumzo kumhusu Khashoggi Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo amewasili mjini Riyadh huku kukiwa na ripoti katika vyombo vya habari Marekani zinazosema kwamba Saudi Arabia inajiandaa kusema Jamal Khashoggi aliuwawa wakati wa mahojiano. Similarity: 0.80

7 days after.

Trump asema Saudi Arabia isihukumiwe Rais wa Marekani Donald Trump ameitetea Saudi Arabia kuhusiana na kupotea kwa mwandishi habari Jamal Khashoggi. Trump ameonya kwamba hakuna haja ya kuihukumu nchi hiyo Nenda kwenye makala Similarity: 0.86

da

Avis om forsvunden journalist: Saudi-Arabien fjernede optagelser fra konsulat Similarity: 0.47

de

Fall Dschamal Chaschukdschi: Verlobte des vermissten Reporters bittet USA um Hilfe Similarity: 0.37

Hier leben die größten Verlierer des Systems Erdogan Similarity: 0.32

en

Jamal Khashoggi: Trump 'demands answers' on missing Saudi Similarity: 0.38

fa

اعلام آمادگی معاون ترامپ برای اعزام هیاتی از اف‌بی‌آی به ترکیه Similarity: 0.31

hu

Több lehetőség is van a török-magyar gazdasági kapcsolat bövítésére Similarity: 0.34

nl

'Turkije vraagt winkeliers prijzen te verlagen in strijd tegen inflatie' Similarity: 0.34

no

Khashoggis forlovede ber Trump om hjelp Similarity: 0.51

pt

Divulgadas imagens do jornalista desaparecido a entrar no consulado saudita Similarity: 0.30

sv

USA redo att bistå i jakt på saudisk skribent Similarity: 0.42

tr

Erdoğan Etiyopyalı mevkidaşıyla bir araya geldi Similarity: 0.30

Yıldız Holding'ten 'Enflasyonla Mücadele Programı'na destek Similarity: 0.35

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Jamal Khashoggi (4)

Recep Tayyip Erdogan (2)

Mohamed bin Salman (2)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center