Tuesday, July 10, 2018

NUSU fainali ya kwanza ya michuano ya kombe la dunia ...  bg  da  de  en  es  fa  fr  it  nl  pl  pt  ro  ru  sl  sv  tr  hu

NUSU fainali ya kwanza ya michuano ya kombe la dunia inachezwa leo ambapo Ubelgiji itamenyana na Ufaransa katika mechi inayotarajiwa kuwa na mvuto wa kipekee. Ubelgiji imetamba kuibuka na ushindi katika mechi hiyo itakayochezwa leo saa tatu usiku. Kocha Mkuu wa timu hiyo, Roberto Martinez alisema....

habarileo 7:46:00 AM CEST

7 days before.

Brazil na Ubelgiji watinga robo fainali Katika michuano ya kuingia robo fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi, Brazil imeichapa Mexico 2-0 na hivyo kujipatia tiketi ya kuingia duru inayofuata. Nayo Japan yatolewa na Ubelgiji baada ya kufungwa 2-3. Similarity: 0.43

Macron aitembelea Nigeria Ziara hiyo ya kiongozi wa Ufaransa ni mwendelezo wa juhudi zake za hivi karibuni za kutafuta ushirikiano wa karibu na nchi zinazozungumza lugha ya Kiingereza barani Afrika. Similarity: 0.38

6 days before.

Kimataifa Michezo Kocha Ubelgiji atumia mbinu mbadala MOSCOW, Urusi dakika 28 zilizopita 0 12 Similarity: 0.50

2 days before.

Waafrika waiunga mkono Ufaransa Similarity: 0.49

ENGLAND jana imefuzu kwa mara ya kwanza kucheza nusu fainali ... Similarity: 0.34

1 day before.

Ufaransa yatamba kuifunga Ubelgiji Similarity: 0.77

1 day after.

Ufaransa yatinga fainali ya Kombe la Dunia 2018 Ufaransa wametinga katika fainali yao ya kwanza ya Kombe la Dunia tangu 2006 baada ya kuizidi nguvu Ubelgiji. Kulikuwa na shangwe na furaha mjini Paris huku maelfu ya mashabiki walifurika mitaani Similarity: 0.87

2 days after.

Croatia yatinga fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza Croatia imetinga katika fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza katika historia yao baada ya bao la ushindi katika muda wa ziada la Mario Mandzukic kuizamisha England kwa mabao 2-1 Nenda kwenye makala Similarity: 0.50

4 days after.

Ubelgiji kuchuana na England St Petersburg Ni mechi ya kuwania nafasi ya tatu ya kombe la kandanda la dunia 2018 nchini Urusi Similarity: 0.53

5 days after.

Kombe la dunia: Ni Ufaransa na Croatia katika fainali Croatia inakwaana na Ufaransa mjini Moscow leo Jumapili (15.07.2018) ikijaribu kunyakua taji la kombe la dunia kwa mara ya kwanza,wakati kikosi cha kocha Didier Deschamps kinalenga kupata taji lake la pili, tangu 1998. Nenda kwenye makala Similarity: 0.72

Fainali za kombe la dunia 2018 zakurubia kumalizika Urusi Kinyang'anyiro cha kuania kombe la dunia mwaka 2018 kitakamilika leo usiku huku rais wa Urusi Vladimir Putin akitekeleza ahadi aliyotoa ya kuhakikisha kila kitu kinapita salama na kuipatia sifa nzuri kabisa Urusi Similarity: 0.35

6 days after.

Ufaransa ndio mabingwa wapya kombe la dunia 2018 Ufaransa wametawazwa kuwa mabingwa wapya wa kombe la dunia 2018 baada ya kuwatandika Croatia mabao 4-2 katika mchezo wa fainali mjini Moscow. Hii ni mara ya pili mara ya kwanza ilikuwa mwaka 1998. Nenda kwenye makala Similarity: 0.75

7 days after.

Tunajifunza nini kutoka kwa Wafaransa Kombe la Dunia? Similarity: 0.65

bg

Програмата на Световното първенство по футбол за днес, 10 юли Similarity: 0.33

da

Nu er »klubholdet« Belgien kun 90 minutter fra historisk VM-finale Similarity: 0.35

de

Frankreich steht im Finale Similarity: 0.35

en

France 1-0 Belgium player ratings: Mbappe and Pogba excellent in World Cup 2018 semi-final Similarity: 0.35

es

Francia-Bélgica: a ser más 'diablos' que nunca Similarity: 0.38

fa

چند نکته کوچک درباره "دربی بزرگ" فرانسه - بلژیک در جام جهانی Similarity: 0.34

fr

Demi-finale : la presse belge à l’offensive Similarity: 0.31

hu

Franciaország a döntőben Similarity: 0.34

it

Francia-Belgio, 0-0 La Diretta Torna Matuidi, gioca Dembélé al posto di Meunier Similarity: 0.37

nl

Frankrijk-België Er was één nog betere generatie België beschikt over een gouden generatie, maar er stond een nóg talentvollere groep op. Frankrijk plaatste zich met 1-0 voor de finale. Similarity: 0.41

Dit bedrag krijgt elke Rode Duivel voor WK-finale, maar dat is drie keer minder dan bondscoach Martinez Similarity: 0.30

pl

09:30 Belgia - Francja: Gdzie oglądać mecz? Similarity: 0.44

pt

França na final do Mundial Similarity: 0.36

ro

Jucătorul Samuel Umtiti este omul meciul Franţa - Belgia Similarity: 0.37

ru

Макрон приехал на матч Франция — Бельгия в Петербург Similarity: 0.33

sl

19:45h Similarity: 0.39

Francozi prvi finalisti Similarity: 0.37

sv

Se alla mål från fotbolls-VM i sportnyheterna - 10 juli Similarity: 0.42

tr

Fransa Belçika yarı final maçı ne zaman saat kaçta hangi kanalda? Similarity: 0.35

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Roberto Martínez (1)

Eden Hazard (1)

Kevin De Bruyne (1)

Kylian Mbappé (1)

Antoine Griezmann (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center