Tuesday, July 10, 2018

Kishindo cha Brexit Magazetini 10.07.2018 Kujiuzulu mawaziri wawili kutokana na mvutano kuhusu sera ya Brexit na uhusiano wa kiuchumi kati ya nchi za Umoja wa Ulaya na China kwa upande mmoja na ule pamoja na Marekani. kwa upande wa pili  ar  de  en  nl  pt  sl  sv  da  hu  no

Tunaanzia njia panda inayoiunganisha Uingereza na Umoja wa Uaya. Gazeti la "Rheinpfalz" linazungumzia kuhusu hatari ya kuvunjika serikali ya waziri mkuu Theresa May. Gazeti linaendelea kuandika:" Pumzi zimeanza kumuishia waziri mkuu Theresa May. Viongozi wa Umoja wa Ulaya mjini Brussels lakini wanahisi hakuna sababu ya kufurahikia.

deutschewelle-sw 12:25:00 PM CEST

6 days before.

Merkel amwonya Trump dhidi ya kuchochea vita vya biashara Kansela wa Ujerumani Angela Merkel leo amemwonya rais wa Marekani Donald Trump baada ya rais huyo kutishia kwamba ataongeza ushuru kwa vipuri na magari yanayoingia nchini Marekani kutoka nchi za Umoja wa Ulaya. Similarity: 0.37

Vituo vya kuwahifadhi wahamiaji si jibu sahihi kwa EU Vituo vipya vinavyopangwa kujengwa karibu na bahari ya Mediterania kuwahifadhi wahamiaji havitakuwa suluhisho sahihi kwa changamoto za wakimbizi katika mataifa ya Umoja wa Ulaya. Similarity: 0.36

4 days before.

Brexit: Theresa May akabiliwa na shinikizo Baraza la mawaziri la Uingereza limekutana kujadili mpango mpya wa nchi hiyo wa kujiondoa Umoja wa Ulaya, lakini waziri mkuuTheresa May alikabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa baadhi ya mawaziri wake, Similarity: 0.59

Afrika katika magazeti ya Ujerumani 06.07.2018 Pamoja na masuala mengine magazeti ya Ujerumani wiki hii yameandika juu ya mapatano ya amani yaliyofikiwa baina ya mahasimu wakubwa nchini Sudan Kusini. Kampuni kubwa za Ujerumani kuleta matumaini Afrika. Similarity: 0.33

3 days before.

Frontex: Wahamiaji wavumbua njia mpya ya kuingia Ulaya Mkurugenzi wa shirika la kulinda mipaka ya Ulaya Frontex, Fabrice Leggeri ameonya kuhusu njia mpya itakayotumiwa na wahamiaji wanaoingia nchini Uhispania. Similarity: 0.71

1 day before.

Waziri wa Brexit David Davis ajiuzulu Waziri anayesimamia mchakato wa Uingereza kujiondoa kutoka Umoja wa Ulaya- Brexit, David Davis, na naibu wake wamejiuzulu kutokana na mpango wa kudumisha mahusiano ya karibu ya kiuchumi na Umoja huo. Similarity: 0.63

Brexit na watoto waliokwama pangoni Thailand 09.07.2018 Uingereza baada ya Brexit, juhudi za kuwaokoa watoto walionasa pangoni nchini Thailand na mtihani uliosababishwa na waziri wa mambo ya ndani wa serikali kuu ya Ujerumani Horst Seehofer kuhusu wakimbizi magazetini Similarity: 0.48

Merkel na Li watafuta ushirikiano zaidi wa kibiashara Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema nchi yake na China zote zimejitolea kuheshimu makubaliano ya kibiashara yanayohusisha pande mbali mbali na sheria za biashara zinazotambulika duniani. Similarity: 0.36

2 days after.

Umoja wa Ulaya kujadili suala la Uhamiaji Mawaziri wa Mambo ya Ndani ya mataifa wanachama wa Umoja wa Ulaya wanakutana nchini Austria kuhusu mzozo wa wakimbizi barani Ulaya, Ujerumani, Italia na Austria zikipanga kushirikiana kwa karibu ili kutatua tatizo hilo. Similarity: 0.36

3 days after.

Trump asimangwa kwa kauli yake Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May na rais wa Marekani Donald Trump watakuwa na mazungumzo kuhusu mahusiano ya kibiashara siku zijazo, licha ya Trump kumkosoa May kuhusu mpango wa Brexit. Kauli iliokasirisha wengi. Similarity: 0.59

ar

اليوان الصيني ينتعش واليورو يصعد لأعلى مستوى بنحو 4 أسابيع Similarity: 0.32

تيريزا ماي تتمسك بمنصبها وسط أزمة سياسة حادة في بريطانيا Similarity: 0.32

da

Boris Johnson smækker med døren: - Drømmen om Brexit er døende Similarity: 0.39

de

17 Chaostage in London Brexit, Rücktritte: Die vielen Baustellen der Theresa May Similarity: 0.41

en

In blow to May, UK's top Brexit official quits government Similarity: 0.35

hu

Theresa May egy új minisztert már kinevezett Similarity: 0.40

nl

De ‘stervende droom’ van de Brexiteers dreigt voor May een nachtmerrie te worden Similarity: 0.38

Er moet in de EU een volledig verbod komen op de handel in ivoor, vindt het internationale campagnenetwerk Avaaz. Maar niet iedereen vindt dat een goed idee. Similarity: 0.31

no

Storbritannias utenriksminister Boris Johnson går av Similarity: 0.39

pt

"Estamos a caminhar para um estatuto de colónia” Similarity: 0.34

sl

Evropska perspektiva za Zahodni Balkan v ospredju vrha v Londonu Similarity: 0.42

BBB: brexit, Boris in banane Similarity: 0.33

sv

”Zombie”-May satsar rubbet på nära relation med EU Similarity: 0.41

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Theresa May (6)

Donald Trump (2)

Boris Johnson (1)

David Davis (1)

Angela Merkel (1)

Vladimir Putin (1)

Barbara Wesel (1)

Bruce Amani Mhariri (1)

Help about this topicOther Names

European Union (14)

NATO (1)

Help about this topicAlerts

Joint Research Center