Tuesday, June 12, 2018

IMF yaonya dhidi ya sera ya Marekani Shirika la fedha ulimwenguni IMF, Shirika la Biashara duniani -WTO yameonya kuwa sera za Marekani za kujilinda kibiashara zinaweza kuwa na athari kwa uchumi wa dunia,kwenye mkutano uliofanyika mjini Berlin, Ujerumani.  de  en

Onyo hilo lilitolewa katika mkutano uliotishwa na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel na viongozi wa mashirika kadhaa ya kimataifa. Merkel, ambaye alikuwa miongoni mwa viongozi wa nchi waliohudhuria mkutano wa nchi saba zilizostawi zaidi kiviwanda duniani G-7 nchini Canada wiki iliyopita, alisema....

deutschewelle-sw 12:24:00 PM CEST

1 day before.

Mkutano wa kihistoria kati ya Trump na Kim Ulimwengu unausubiri mkutano wa kihistoria kati ya rais wa Marekani na kiongozi wa Korea Kaskazini utakaofanyika Jumanne nchini Singapore.Viongozi wote wameshafika na maandalizi ya mkutano huo yanaendelea.Ni mara ya kwanza Trump atakutana uso kwa macho na kiongozi huyo wa Korea Kaskazini Kim Jong Un. Similarity: 0.42

1 day after.

Marekani, Mexico na Canada kuandaa kombe la Dunia 2026 Amerika Kaskazini ndiyo itakayokuwa mwenyeji wa fainali za kombe la kandanda la dunia 2026, baada ya kuchaguliwa na wapiga kura wa Shirikisho la kandanda la Kimataifa FIFA mjini Moscow leo. Marekani, Mexico na Canada zimejipatia nafasi hiyo baada ya kuishinda Morocco. Similarity: 0.37

7 days after.

Mzozo wa uhamiaji waitikisa serikali ya Merkel Washirika wa kansela Angela Merkel wa kihafidhina kutoka jimbo la Bavaria nchini Ujerumani wamekubali kumpatia muda wa wiki mbili wa kupumua, ili apate suluhisho katika Umoja wa Ulaya kuhusiana na mvutano wa uhamiaji. Similarity: 0.36

de

Eishockey: Eishockey-Stürmer Ehliz wechselt zu NHL-Team Calgary Flames Similarity: 0.30

en

Trudeau’s criticism will cost Canada ‘a lot of money’: Trump Similarity: 0.34

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Christine Lagarde (1)

Angela Merkel (1)

Jean-Claude Juncker (1)

Theresa May (1)

Canada Trudeau (1)

Mohammed Abdul-Rahman (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center