Tuesday, May 15, 2018

Gaza yawazika Wapalestina waliouwawa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linaendelea na mkutano wa dharura kujadili mgogoro wa Gaza wakati ambapo maelfu ya wakaazi wa Gaza Jumanne ya leo wafanya mazishi ya Wapalestina waliouawa na wanajeshi wa Israeli  ar  bg  da  de  en  es  fr  it  nl  no  pt  ro  ru  sl  sv

Miili kadhaa ya Wapalestina waliouwawa ilipitishwa kwenye mitaa ya Ukanda wa Gaza kabla ya kupelekwa makaburini kwa kwa ajili ya mazishi. Takriban watu 61 waliuawa na majeshi ya Israeli wakati wa maandamano ambapo Wapalestina 35 walizikwa hapo jana Jumatatu, siku mbaya zaidi itakayokumbukwa katika....

deutschewelle-sw 5:21:00 PM CEST

7 days before.

Palestina yataka nchi za Amerika ya Kusini kutohamishia balozi zake Jerusalem Rais wa Mamlaka ya ndani ya Palestina Mahmoud Abbas ametoa mwito kwa nchi za Amerika ya Kusini kutounga mkono uamuzi wa Marekani wa kuamishia ubalozi wake mjini Jerusalem. Similarity: 0.35

1 day before.

Wapalestina 41 wauawa Gaza Wanajeshi wa Israel wamewaua Wapalestina 41 karibu na mpaka wa Ukanda wa Gaza Nenda kwenye makala Similarity: 0.67

Marekani kuhamishia ubalozi Jerusalem Ubalozi wa Marekani nchini Israel unahamishiwa Jerusalem, kufuatia tangazo la Rais Donad Trump la kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa taifa hilo. Ni hatua iliyokosolewa kimataifa, na kuwaghadhibisha Wapalestina. Nenda kwenye makala Similarity: 0.50

1 day after.

Papa Francis aonya machafuko Mashariki ya Kati Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amesema ana wasiwasi kutokana na kuongezeka kwa machafuko huko mashariki ya kati baada ya wapalestina 60 kuuawa na majeshi ya Israel. Similarity: 0.55

2 days after.

Israel yajibu mashambulizi ya Hamas Jeshi la Israel limesema limefanya mashambulizi kaskazini mwa ukanda wa Gaza kujibu mashambulizi ya Hamas katika mji wa Sderot, ulioko katika mpaka wa Israel. Mpalestina mmoja alijeruhiwa kiasi katika mashambulizi hayo. Similarity: 0.60

3 days after.

Umoja wa Mataifa wataka uchuguzi mauwaji Gaza Afisa wa ngazi ya juu kabisa mwenye jukumu la kusimamia masuala ya haki za binaadamu katika Umoja wa Mataifa Zeid Ra'ad al-Hussein amesema kuna ushahidi mdogo unaonesha kuwa Israeli ilifanya jitihada za kupunguza maafa, Similarity: 0.70

ar

مطالبات دولية بالتحقيق في "مجزرة السفارة" Similarity: 0.41

مجلس الأمن يقف دقيقة على ضحايا غزة Similarity: 0.38

هايلي تبرر مجزرة غزة: اسرائيل ضبطت نفسها بمواجهة الاستفزاز Similarity: 0.30

bg

Израел е най-сдържаната държава, обяви Хейли в Съвета за сигурност на ООН Посланикът на САЩ обвини ООН в "двойни стандарти" Similarity: 0.34

da

Israel forsvarer nedskydning af demonstranter Similarity: 0.33

de

Gaza: Massenproteste an Grenze zu Israel – Dutzende Tote, mindestens 2800 Verletzte Similarity: 0.45

en

Gaza braces for second day of violence as Palestinians hold funerals for 59 killed by Israeli forces Similarity: 0.43

es

Gaza entierra a los muertos mientras Israel se prepara para nuevas protestas Similarity: 0.41

fr

Israël face à une vague de réprobation après le bain de sang à Gaza Similarity: 0.44

it

Apre l’Ambasciata Usa a Gerusalemme. Scontri al confine con Gaza: uccisi 59 palestinesi, 2.771 feriti Similarity: 0.38

nl

VN: Israël had niet met scherp mogen schieten op ongewapende Palestijnen Similarity: 0.36

no

Israel får massiv kritikk for drap på sivile palestinere Similarity: 0.41

pt

Erdogan acusa Israel de "terrorismo de Estado" e "genocídio" Similarity: 0.38

ro

Violențele israelieni – palestinieni: „Ca înaintea celui de-al doilea război mondial” Similarity: 0.43

ru

AFP: США заблокировали принятие СБ ООН призыва к расследованию в секторе Газа Similarity: 0.35

sl

08:13h Similarity: 0.31

sv

01:53 NYHETER Alltfler döda i Gazaremsan Similarity: 0.42

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center