Korea Kaskazini imefanya gwaride kubwa la kijeshi kuadhimisha miaka 70 tangu lilipoanzishwa jeshi la nchi hiyo, siku moja kabla ya kufunguliwa kwa michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi katika nchi jirani ya Korea Kusini. Afisa wa Korea Kusini ambaye hakutaka kutajwa jina amesema kiasi ya wanajeshi....