Thursday, February 8, 2018

Majeshi yanayoongozwa na Marekani yashambulia vikosi vya Syria Majeshi yanayoongozwa na Marekani katika kupambana na makundi ya itikadi kali yamefanya mashambulizi ya anga dhidi ya vikosi vinavyomuunga mkono rais wa Syria Bashar al Assad.  da  de  ru  sl  sv

Muungano wa majeshi yanayoongozwa na Marekani katika kupambana na makundi ya itikadi kali umefanya mashambulizi ya anga dhidi ya vikosi vinavyomuunga mkono rais wa Syria Bashar al Assad na kuwaua zaidi ya wapiganaji 100 wa vikosi vya serikali. Hiyo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na jeshi la Marekani.

deutschewelle-sw 12:41:00 PM CET

6 days before.

Marekani yaishutumu Syria kutumia tena silaha za kemikali Marekani imesema huenda serikali ya Syria ikawa inatumia silaha mpya za kemikali dhidi ya raia wake, na ipo tayari kuichukulia hatua za kijeshi ikilazimika. Umoja wa Mataifa nao umeonya dhidi ya hali mbaya ya Idlib. Nenda kwenye makala Similarity: 0.36

3 days before.

Mashambulizi Syria yasababisha raia kushindwa kupumua Raia kadhaa wa Syria wanatibiwa baada ya kushindwa kupumua kutokana na mashambulizi ya ndege yaliyofanywa na serikali kwenye mji wa Saraqeb. Similarity: 0.38

2 days before.

Mashambulizi nchini Syria yaendelea kuwaua raia Watu 29 wameuawa katika mashambulizi ya anga Syria kwenye eneo linalodhibitiwa na waasi karibu na Damascus. Mauaji hayo yamefanyika wakati vita vya maneno kuhusu matumizi ya gesi ya chlorine dhidi ya raia yakiendelea. Nenda kwenye makala Similarity: 0.44

da

Syrisk regering: amerikansk angreb på syriske styrker er en krigsforbrydelse Similarity: 0.40

de

US-Luftschlag tötete mehr als 100 Assad-Kämpfer Similarity: 0.40

ru

Американский удар по сторонникам Асада в Сирии: версии США и России Similarity: 0.37

sl

V napadu ZDA v Siriji ubitih prek 100 pripadnikov prorežimskih sil Similarity: 0.39

sv

Källa: Över 100 soldater dödade i Syrien Similarity: 0.34

Myndighet: Ryssland hackade valsystemet i USA Similarity: 0.30

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Bashar Assad (3)

Vladimir Putin (1)

Recep Tayyip Erdogan (1)

Isaac Gamba (2)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center