Tuesday, February 6, 2018

Mashambulizi nchini Syria yaendelea kuwaua raia Watu 29 wameuawa katika mashambulizi ya anga Syria kwenye eneo linalodhibitiwa na waasi karibu na Damascus. Mauaji hayo yamefanyika wakati vita vya maneno kuhusu matumizi ya gesi ya chlorine dhidi ya raia yakiendelea. Nenda kwenye makala

Mauaji hayo yametokea jana baada ya mashambulizi kadhaa ya anga na ufyatuaji wa makombora katika eneo la Ghouta Mashariki, wakati ambapo mzozo wa Syria uliodumu kwa miaka saba ukiwaacha raia wakiteseka. Mkurugenzi wa shirika linalofuatilia haki za binaadamu nchini Syria, Rami Abdel Rahman amesema raia 29 waliuawa na wengine kadhaa walijeruhiwa.

deutschewelle-sw 10:19:00 AM CET

1 day after.

Urusi yapeleka makombora Kaliningrad Urusi imesema ina haki ya kuweka silaha zake popote pale itakapoamua katika eneo lake baada ya kuwepo taarifa kwamba Urusi imepeleka mfumo wa makombora ya nyuklia kwenye mkoa wa Kaliningrad katika Bahari ya Baltic. Nenda kwenye makala Similarity: 0.39

2 days after.

Majeshi yanayoongozwa na Marekani yashambulia vikosi vya Syria Majeshi yanayoongozwa na Marekani katika kupambana na makundi ya itikadi kali yamefanya mashambulizi ya anga dhidi ya vikosi vinavyomuunga mkono rais wa Syria Bashar al Assad. Similarity: 0.44

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Bashar Assad (1)

Nikki Haley (1)

Jana Marekani (1)

Grace Patricia Kabogo (1)

Vassili Nebenzia (1)

Rami Abdel Rahman (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center