Tuesday, February 6, 2018

Korea Kaskazini ilinunua teknolojia kupitia ubalozi wake Berlin Kituo cha utangazaji cha umma nchini Ujerumani kimeripoti kwamba Korea Kaskazini iliutumia ubalozi wake mjini Berlin ili kujipatia vifaa vya teknolojia ya hali ya juu.

Shirika la upelelezi wa ndani linaamini kwamba teknolojia hiyo ilitumika katika programu ya makombora na mpango wa nyukilia. Korea Kaskazini ilinunua vifaa na teknolojia kwa ajili ya programu ya makombora ya masafa marefu kwa kutumia ubalozi wake mjini Berlin, amesema mkuu wa shirika la upelelezi wa....

deutschewelle-sw 12:43:00 PM CET

2 days after.

Korea Kaskazini yaonyesha nguvu zake za kijeshi Korea Kaskazini imefanya gwaride kubwa la kijeshi kuadhimisha miaka 70 tangu lilipoanzishwa jeshi la nchi hiyo, siku moja kabla ya kufunguliwa michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi katika nchi jirani ya Korea Kusini. Nenda kwenye makala Similarity: 0.60

3 days after.

Olimpiki ya majira ya baridi yaanza Pyeongchang Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi inaanza Ijumaa huko Korea Kusini katika mji wa Pyeongchang na sherehe ya ufunguzi itaonesha jinsi nchi hiyo ilivyojikwamua kutoka kwenye umaskini. Nenda kwenye makala Similarity: 0.55

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Hans-Georg Maaßen (1)

Sylvia Mwehozi (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center