Monday, February 5, 2018

Mashambulizi Syria yasababisha raia kushindwa kupumua Raia kadhaa wa Syria wanatibiwa baada ya kushindwa kupumua kutokana na mashambulizi ya ndege yaliyofanywa na serikali kwenye mji wa Saraqeb.

Shirika linalofuatilia haki za binaadamu nchini Syria lenye makao yake mjini London, Uingereza limesema raia watano wanapatiwa matibabu kutokana na kukosa pumzi na kushindwa kupumua baada ya serikali ya Syria kutumia silaha za sumu katika maeneo yanayodhibitiwa na waasi kwenye mji wa Saraqeb uliopo kaskazini magharibi mwa Syria.

deutschewelle-sw 10:58:00 AM CET

3 days after.

Majeshi yanayoongozwa na Marekani yashambulia vikosi vya Syria Majeshi yanayoongozwa na Marekani katika kupambana na makundi ya itikadi kali yamefanya mashambulizi ya anga dhidi ya vikosi vinavyomuunga mkono rais wa Syria Bashar al Assad. Similarity: 0.38

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Recep Tayyip Erdogan (1)

Abu Hamdo (1)

Grace Patricia Kabogo (1)

Jim Mattis (1)

Papa Francis (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center