Friday, February 2, 2018

Marekani yaishutumu Syria kutumia tena silaha za kemikali Marekani imesema huenda serikali ya Syria ikawa inatumia silaha mpya za kemikali dhidi ya raia wake, na ipo tayari kuichukulia hatua za kijeshi ikilazimika. Umoja wa Mataifa nao umeonya dhidi ya hali mbaya ya Idlib. Nenda kwenye makala  da

Afisa wa ngazi ya juu waa Marekani amesema inasadikika kuwa Rais Bashar al-Assad wa Syria alificha sehemu ya shehena ya silaha za kemikali licha ya makubaliano kati ya Marekani na Urusi yalioitaka serikali yake kuzisalimisha silaha hizo ili ziharibiwe mnamo mwaka 2014.

deutschewelle-sw 10:19:00 AM CET

7 days before.

Wakurdi wa Afrin waomba msaada kijeshi wa Syria Wapiganaji wa Kikurdi katika mji wa Afrin nchini Syria wameomba msaada wa kijeshi kutoka kwa serikali ya Syria mnamo wakati mashambulizi ya vikosi vya Uturuki dhidi ya wapiganaji hao yakizidi kushika kasi. Similarity: 0.36

6 days before.

Usitishaji mapigano watekelezwa mashariki mwa Ghouta, Syria Usitishaji mapigano mashariki mwa Ghouta umeanza kutekelezwa kwa sharti la kuruhusu uingizaji wa misaada ya kiutu. Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kuitaka Syria kushitakiwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC). Nenda kwenye makala Similarity: 0.52

3 days before.

Putin: Wasyria ndio wanaoweza kuamua mustakabali wa nchi yao Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema raia wa Syria wanapaswa kushikamana na kuwa na maono ya pamoja juu ya mustakabali wao wa baadaye ili kukabiliana na mgogoro unaoendelea nchini mwao. Similarity: 0.41

Hali ya kibinadamu Syria bado ni mateso matupu- Mueller Similarity: 0.38

1 day before.

Diplomasia ya kibinadamu "haiendi popote" nchini Syria. Similarity: 0.47

5 days after.

Urusi yapeleka makombora Kaliningrad Urusi imesema ina haki ya kuweka silaha zake popote pale itakapoamua katika eneo lake baada ya kuwepo taarifa kwamba Urusi imepeleka mfumo wa makombora ya nyuklia kwenye mkoa wa Kaliningrad katika Bahari ya Baltic. Nenda kwenye makala Similarity: 0.49

6 days after.

Majeshi yanayoongozwa na Marekani yashambulia vikosi vya Syria Majeshi yanayoongozwa na Marekani katika kupambana na makundi ya itikadi kali yamefanya mashambulizi ya anga dhidi ya vikosi vinavyomuunga mkono rais wa Syria Bashar al Assad. Similarity: 0.36

da

Trump siger god for at lægge kontroversielt notat frem Similarity: 0.30

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Jan Egeland (2)

Bashar Assad (1)

Daniel Gakuba (1)

Heather Nauert (1)

Rex Tillerson (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center