Thursday, January 11, 2018

Waasi Colombia washambulia bomba la mafuta  en

Nchini Colombia, mashambulio ya bomu yameripotiwa hii leo kwenye bomba la kusafirisha mafuta la Cano Limon katika majimbo ya Arauca na Boyaca, ikiwa ni siku moja tu baada ya kumalizika kwa muda wa makubaliano ya muda ya kusitisha mapigano kati ya serikali na kikundi cha National Liberation Army, ELN.

unmultimedia 4:13:00 PM CET

1 day before.

Waasi Colombia washambulia bomba la mafuta Similarity: 0.96

3 days after.

Ahadi yetu Colombia ipo palepale:Guterres Similarity: 0.49

en

01:01 Colombia Marxist ELN rebels resume attacks in Colombia Similarity: 0.36

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center