Thursday, January 11, 2018

Siku ya mwisho kwa Merkel kupata muafaka wa serikali ya mseto Kansela wa Ujerumani Angela Merkel anayo matumaini ya kupata muafaka hii leo, katika mazungumzo ya matayarisho ya kuunda serikali ya mseto kati ya vyama ndugu vya kihafidhina, CDU/CSU na chama cha Social Democrats, SPD.  de  en  fr

Mazungumzo ya leo Alhamis yanatarajiwa kuendelea hadi usiku, kwa sababu viongozi wa vyama vinavyojadiliana, Christian Democratic Union, CDU cha Kansela Angela Merkel na chama ndugu cha jimboni Bavaria cha Christian Social Union CSU, pamoja na chama cha Social Democrats, SPD, asubuhi ya kesho Ijumaa....

deutschewelle-sw 8:52:00 AM CET

7 days before.

Mkutano wa matayarisho wa kuunda serikali ya mseto Ujerumani 04.01.2018 Wahariri wa magazeti nchini Ujerumani wamejishughulisha na masuala ya mkutano wa matayarisho wa kuunda serikali ya mseto kati ya CDU/CSU na SPD, uchunguzi juu ya sababu zinazopelekea wakimbizi kujihusisha na uhalifu. Similarity: 0.37

4 days before.

Merkel aanzisha mazungumzo ya kuunda serikali na SPD Zaidi ya miezi mitatu baada ya uchaguzi nchini Ujerumani, Kansela Angela Merkel bado anahangaika kuunda serikali mpya na Jumapili(07.01.2018)anazindua mazungumzo ya kukishawishi chama cha SPD kujiunga na serikali yake. Nenda kwenye makala Similarity: 0.65

3 days before.

Mazungumzo ya kuundwa serikali ya muungano Magazetini 08.01.2018 Mazungumzo ya kuundwa serikali ya muungano mjini Berlin, jinsi warepublican walivyosimama kidete nyuma ya rais wa Marekani Donald Trump na juhudi za kupunguza mivutano kati ya Uturuki na Ujerumani magazetini Similarity: 0.42

5 days after.

SPD wasaka uungaji mkono wa makubaliano pamoja na CDU/CSU 16.01.2018 Mabishano miongoni mwa wana SPD kama wajiunge na serikali ya muungano , juhudi za chama cha die Linke za kutaka kuunda muungano wa vyama vya mrengo wa kushoto na matumizi ya nguvu dhidi ya polisi magazetini Similarity: 0.38

7 days after.

Kuhuska kwa umaarufu wa SPD kwaweka matarajio ya GroKo mashakani Umaarufu wa chama cha Social Democratic cha Ujerumani SPD umezidi kufifia huku shinikizo likizidi kwa mwenyekiti wake Martin Schulz wakati ambapo anapambana kupata uungwaji mkono kwa serikali ya muungano na wahafidhina. Similarity: 0.53

de

Tag der Entscheidung: «Dicke Brocken» für Sondierer Similarity: 0.36

Umfrage: Mehrheit glaubt nicht, dass Merkel bis 2021 durchhält Similarity: 0.35

en

Merkel resolute as key ally injured in car crash on final day of coalition talks Similarity: 0.39

Bayern trio fit for Bundesliga resumption Similarity: 0.34

fr

Allemagne: "gros obstacles" pour former un gouvernement Similarity: 0.39

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Angela Merkel (2)

Martin Schulz (1)

Peter Altmaier (1)

Daniel Gakuba (1)

Caro Robi (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center