Thursday, January 11, 2018

Wanariadha wa Korea Kaskazini kuiwakilisha kwenye Olimpiki Je, michezo inaweza kutumika kuunganisha watu waliogawanyika? Wanariadha wa michezo ya kuteleza katika barafu kutoka Korea mbili zinazovutana za Kusini na Kaskazini wanatarajiwa kusaidia katika kujenga tena urafiki kati ya majirani hao mahasimu wakati wa michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi itakayofanyika Pyeongchang, Korea Kusini.  da  en  fa

Media Center Wanariadha wa Korea Kaskazini wanaotarajiwa kuiwakilisha katika Olimpiki. Je, michezo inaweza kutumika kuunganisha watu waliogawanyika? Wanariadha wa michezo ya kuteleza katika barafu kutoka Korea mbili zinazovutana za Kusini na Kaskazini wanatarajiwa kusaidia katika kujenga tena....

deutschewelle-sw 10:58:00 AM CET

2 days before.

Korea Kusini na Kaskazini zaanza mazungumzo ya ngazi ya juu Wajumbe wa ngazi ya juu wa Korea Kusini na Kaskazini wamefanya mazungumzo katika kijiji cha Panmunjom katika eneo la mpaka upande wa Korea Kusini, yakiwa mazungumzo ya kwanza kati ya nchi hizo kwa muda wa miaka miwili. Nenda kwenye makala Similarity: 0.60

1 day before.

Rais Moon wa Korea Kusini yuko tayari kukutana na Kim Jong-un Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in amesema yu tayari kukutana na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un ikiwa masharti kadhaa yatatimizwa. Moon pia amesisitiza umuhimu wa suluhisho la mzozo wa nyuklia ya Korea Kaskazini. Similarity: 0.60

6 days after.

Korea Kaskazini kupeleka washangiliaji Olimpiki Korea Kaskazini itatuma washangiliaji 230 katika michezo ya Olimpiki nchini Korea Kusini mwezi ujao, hii ikiwa ni kulingana na Korea Kusini baada ya mazungumzo wakati kukiwa na mahusiano mabaya kati ya Korea hizo mbili Similarity: 0.57

da

Forhandlinger mellem Nord og Sydkorea Similarity: 0.31

en

Trump open to US-North Korea talks 'under right circumstances' Similarity: 0.32

fa

استقبال چین از مذاکرات کره شمالی و کره جنوبی Similarity: 0.31

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Siraj Kalyango (1)

Rita Joy Osazee (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center