Tuesday, January 2, 2018

Maandamano yaendelea kuitikisa Iran, zaidi ya 20 wauawa Watu wengine 9 wameuawa usiku wa kuamkia leo katika maandamano na machafuko yanayoendelea kuitikisa Iran, wakiwemo baadhi ya waandamanaji waliojaribu kuvamia kituo cha polisi kuiba silaha, imeripoti televisheni ya taifa.  pt  ru  sv  da  es  hu

Maandamano hayo ambayo ndiyo makubwa zaidi kuikumba Iran tangu uchaguzi wake uliobishaniwa mwaka 2009, yameshuhudia siku sita za machafuko nchini Iran kote, na vifo vya watu wasiopungua 20. Maandamano hayo yalianza Alhamisi wiki iliyopita katika mji wa Mashhad kupinga hali duni ya kiuchumi na....

deutschewelle-sw 10:37:00 AM CET

3 days before.

Wafuasi wa Rouhani waandamana Iran Maelfu ya wafuasi wa serikali ya Rais Hassan Rouhani wa Iran wameandamana katika miji tofauti nchini humo kuiunga mkono serikali yao baada ya maandamano ya siku mbili ya kuwapinga viongozi wa kidini nchini humo Nenda kwenye makala Similarity: 0.52

2 days before.

Watu wawili wauawa kwenye maandamano nchini Kongo Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema maafisa wa usalama wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamewaua watu wawili kwa kuwapiga risasi wakati wa maandamano ya kumpinga rais Joseph Kabila. Similarity: 0.32

1 day before.

Mzozo wa Iran waendelea kutokota Karibu watu 12 wameuawa katika maandamano yanayoendelea nchini Iran, na waandamanaji walio na silaha wamejaribu kuvamia vituo vya polisi na jeshi. Nenda kwenye makala Similarity: 0.67

Nane wauawa katika maandamano DR Congo Watu wanane wameuawa Juampili na dazeni kadhaa kukamatwa na vikosi vya usalama katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, wakati wa maandamano yalioitishwa na Kanisa Katoliki kumshinikiza rais Joseph Kabila aachie madaraka. Nenda kwenye makala Similarity: 0.30

1 day after.

Maandamano Iran kuunga mkono utawala Maelfu ya watu waliandamana katika miji mbali mbali nchini Iran, katika hatua ya kuonesha uimara wa utawala baada ya siku kadhaa za machafuko na televisheni ya taifa ilionesha watu wengi wakiandamana katika miji kadhaa. Similarity: 0.62

2 days after.

Walioshiriki maandamano Iran kuadhibiwa Adhabu kali inawasubiri walioshiriki maandamano ambayo yameikumba Iran kwa kipindi cha wiki moja iliyopita. Na haya ni kulingana na kamanda mmoja mkuu wa jeshi la Iran anayesisitiza kwamba maandamano hayo yamekwisha. Similarity: 0.51

3 days after.

Maandamano ya kuiunga mkono serikali kufanyika Iran Maandamano ya kuiunga mkono serikali ya Iran yanatarajiwa kufanyika mjini Tehran Ijumaa huku uongozi wa nchi hiyo ukitaka kuyamaliza machafuko yaliyoshuhudiwa wiki iliyopita. Similarity: 0.51

4 days after.

Baraza la Usalama lagawika kuhusu Iran Iran imeuambia Umoja wa Mataifa inao ushahidi kwamba maandamano ya upinzani yaliyotokea nchini humo yameratibiwa kutoka nje, na Urusi imelitaka Baraza la Usalama kuiacha Iran ishughulikie yenyewe masuala yake ya ndani. Nenda kwenye makala Similarity: 0.46

da

Oprør i Iran: Dødstallet stiger til mindst 20 Similarity: 0.32

Luksusresort i krise: Må lukke sin goldbane Similarity: 0.35

es

EE.UU. comienza a aceptar a reclutas transexuales... pese a la oposición de Trump Similarity: 0.31

hu

Összefogtak Irán ellenségei az ország ellen, mondta az ajatollah Similarity: 0.37

pt

Líder supremo do Irão acusa "inimigos" do país de estarem por detrás dos protestos Similarity: 0.31

ru

Трамп заявил о подходящем времени для перемен в Иране Similarity: 0.30

sv

Nio dödade i Iran under natten Similarity: 0.31

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Barack Obama (1)

Ali Khamenei (1)

Hassan Rohani (1)

Donald Trump (1)

Grace Patricia Kabogo (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center