Monday, January 1, 2018

Mzozo wa Iran waendelea kutokota Karibu watu 12 wameuawa katika maandamano yanayoendelea nchini Iran, na waandamanaji walio na silaha wamejaribu kuvamia vituo vya polisi na jeshi. Nenda kwenye makala  da  en  es  pt  sv  no

Maandamano hayoy alianza Alhamisi katika mji wa Mashhad kuhusiana na masuala ya kiuchumi na yakasambaa hadi miji mingine, huku baadhi ya waandamanaji wakipiga kelele za kuipinga serikali na kiongozi mkuu Ayatollah Ali Khamenei. Mamia ya watu wamekamatwa. Televisheni ya taifa imesema watu 10 wameuawa Jumapili usiku, bila kufafanua.

deutschewelle-sw 3:25:00 PM CET

2 days before.

Wafuasi wa Rouhani waandamana Iran Maelfu ya wafuasi wa serikali ya Rais Hassan Rouhani wa Iran wameandamana katika miji tofauti nchini humo kuiunga mkono serikali yao baada ya maandamano ya siku mbili ya kuwapinga viongozi wa kidini nchini humo Nenda kwenye makala Similarity: 0.51

1 day before.

Watu wawili wauawa kwenye maandamano nchini Kongo Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema maafisa wa usalama wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamewaua watu wawili kwa kuwapiga risasi wakati wa maandamano ya kumpinga rais Joseph Kabila. Similarity: 0.31

1 day after.

Maandamano yaendelea kuitikisa Iran, zaidi ya 20 wauawa Watu wengine 9 wameuawa usiku wa kuamkia leo katika maandamano na machafuko yanayoendelea kuitikisa Iran, wakiwemo baadhi ya waandamanaji waliojaribu kuvamia kituo cha polisi kuiba silaha, imeripoti televisheni ya taifa. Similarity: 0.67

Maandamano Iran na Makadirio kwa mwaka 2018 Magazetini 02.01.2018 Maandamano ya Iran, Uhusiano wa Marekani na Umoja wa Ulaya, na makadirio ya Umoja wa ulaya kwa mwaka 2018 ni miongoni mwa mada zilizomulikwa katika toleo la mwanzo magazetini kwa mwaka mpya wa 2018. Similarity: 0.31

2 days after.

Maandamano Iran kuunga mkono utawala Maelfu ya watu waliandamana katika miji mbali mbali nchini Iran, katika hatua ya kuonesha uimara wa utawala baada ya siku kadhaa za machafuko na televisheni ya taifa ilionesha watu wengi wakiandamana katika miji kadhaa. Similarity: 0.71

3 days after.

Walioshiriki maandamano Iran kuadhibiwa Adhabu kali inawasubiri walioshiriki maandamano ambayo yameikumba Iran kwa kipindi cha wiki moja iliyopita. Na haya ni kulingana na kamanda mmoja mkuu wa jeshi la Iran anayesisitiza kwamba maandamano hayo yamekwisha. Similarity: 0.54

4 days after.

Maandamano ya kuiunga mkono serikali kufanyika Iran Maandamano ya kuiunga mkono serikali ya Iran yanatarajiwa kufanyika mjini Tehran Ijumaa huku uongozi wa nchi hiyo ukitaka kuyamaliza machafuko yaliyoshuhudiwa wiki iliyopita. Similarity: 0.63

5 days after.

Baraza la Usalama lagawika kuhusu Iran Iran imeuambia Umoja wa Mataifa inao ushahidi kwamba maandamano ya upinzani yaliyotokea nchini humo yameratibiwa kutoka nje, na Urusi imelitaka Baraza la Usalama kuiacha Iran ishughulikie yenyewe masuala yake ya ndani. Nenda kwenye makala Similarity: 0.54

da

Iransk stats-tv: 10 dræbt under uroligheder Similarity: 0.32

en

A Flawed Regime Unravels Similarity: 0.30

es

Las protestas prosiguen en Irán entre llamadas a la calma del presidente, Hasan Rohani Similarity: 0.31

no

Statlig iransk TV: Ti personer drept i demonstrasjoner Similarity: 0.34

pt

10 mortos em protestos no Irão, avança a televisão estatal iraniana Similarity: 0.40

sv

12:53 UTRIKES Minst tio dödade i nya protester i Iran Similarity: 0.32

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Ali Khamenei (1)

Hassan Rohani (1)

Donald Trump (1)

Caro Robi (1)

Jana Jumapili (1)

Bruce Amani Mhariri (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center