Monday, January 1, 2018

Nane wauawa katika maandamano DR Congo Watu wanane wameuawa Juampili na dazeni kadhaa kukamatwa na vikosi vya usalama katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, wakati wa maandamano yalioitishwa na Kanisa Katoliki kumshinikiza rais Joseph Kabila aachie madaraka. Nenda kwenye makala  fr  pt

Licha ya maombi, hasa kutoka kwa Umoja wa Mataifa kuheshimu haki ya raia kuandamana, wanajeshi walifyatua hewa ya kutoa machozi ndani ya makanisa na risasi za moto hewani kuvunja mikusanyiko ya waumini wa Kikatoliki, na katika kisa kimoja waliwakamata wavulana wanaohudumu kanisani kwa kuongoza maandamano mjini Kinshasa.

deutschewelle-sw 6:15:00 AM CET

2 days before.

Wafuasi wa Rouhani waandamana Iran Maelfu ya wafuasi wa serikali ya Rais Hassan Rouhani wa Iran wameandamana katika miji tofauti nchini humo kuiunga mkono serikali yao baada ya maandamano ya siku mbili ya kuwapinga viongozi wa kidini nchini humo Nenda kwenye makala Similarity: 0.33

1 day before.

Watu wawili wauawa kwenye maandamano nchini Kongo Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema maafisa wa usalama wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamewaua watu wawili kwa kuwapiga risasi wakati wa maandamano ya kumpinga rais Joseph Kabila. Similarity: 0.63

1 day after.

Maandamano yaendelea kuitikisa Iran, zaidi ya 20 wauawa Watu wengine 9 wameuawa usiku wa kuamkia leo katika maandamano na machafuko yanayoendelea kuitikisa Iran, wakiwemo baadhi ya waandamanaji waliojaribu kuvamia kituo cha polisi kuiba silaha, imeripoti televisheni ya taifa. Similarity: 0.30

2 days after.

Maandamano Iran kuunga mkono utawala Maelfu ya watu waliandamana katika miji mbali mbali nchini Iran, katika hatua ya kuonesha uimara wa utawala baada ya siku kadhaa za machafuko na televisheni ya taifa ilionesha watu wengi wakiandamana katika miji kadhaa. Similarity: 0.38

3 days after.

Walioshiriki maandamano Iran kuadhibiwa Adhabu kali inawasubiri walioshiriki maandamano ambayo yameikumba Iran kwa kipindi cha wiki moja iliyopita. Na haya ni kulingana na kamanda mmoja mkuu wa jeshi la Iran anayesisitiza kwamba maandamano hayo yamekwisha. Similarity: 0.39

4 days after.

Maandamano ya kuiunga mkono serikali kufanyika Iran Maandamano ya kuiunga mkono serikali ya Iran yanatarajiwa kufanyika mjini Tehran Ijumaa huku uongozi wa nchi hiyo ukitaka kuyamaliza machafuko yaliyoshuhudiwa wiki iliyopita. Similarity: 0.38

fr

22h12 Répression en RDC: la Francophonie dénonce des "attaques inqualifiables" (AFP) Similarity: 0.34

pt

ONU preocupada com protestos que mataram pelo menos 5 na RD Congo Rádio das Nações Unidas Similarity: 0.33

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Leonie Kandolo (1)

Florence Marchal (1)

Pierrot Mwanamputu (1)

Kati Ida Sawyer (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center