Sunday, December 31, 2017

Watu wawili wauawa kwenye maandamano nchini Kongo Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema maafisa wa usalama wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamewaua watu wawili kwa kuwapiga risasi wakati wa maandamano ya kumpinga rais Joseph Kabila.  en  fr  nl  sv  de

Mkurugenzi wa Afrika ya Kati wa Human Rights Watch Ida Sawyer amesema watu hao wameuliwa nje ya kanisa la Mtakatifu Alphonse katika wilaya ya Matete katika jiji la Kinshasa. Msemaji wa polisi Pierrot Mwanamputu hata hivyo amekanusha kwamba polisi walitumia risasi wakati wa maandamano hayo.

deutschewelle-sw 5:37:00 PM CET

1 day before.

Wafuasi wa Rouhani waandamana Iran Maelfu ya wafuasi wa serikali ya Rais Hassan Rouhani wa Iran wameandamana katika miji tofauti nchini humo kuiunga mkono serikali yao baada ya maandamano ya siku mbili ya kuwapinga viongozi wa kidini nchini humo Nenda kwenye makala Similarity: 0.35

1 day after.

Mzozo wa Iran waendelea kutokota Karibu watu 12 wameuawa katika maandamano yanayoendelea nchini Iran, na waandamanaji walio na silaha wamejaribu kuvamia vituo vya polisi na jeshi. Nenda kwenye makala Similarity: 0.31

Nane wauawa katika maandamano DR Congo Watu wanane wameuawa Juampili na dazeni kadhaa kukamatwa na vikosi vya usalama katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, wakati wa maandamano yalioitishwa na Kanisa Katoliki kumshinikiza rais Joseph Kabila aachie madaraka. Nenda kwenye makala Similarity: 0.63

2 days after.

Maandamano yaendelea kuitikisa Iran, zaidi ya 20 wauawa Watu wengine 9 wameuawa usiku wa kuamkia leo katika maandamano na machafuko yanayoendelea kuitikisa Iran, wakiwemo baadhi ya waandamanaji waliojaribu kuvamia kituo cha polisi kuiba silaha, imeripoti televisheni ya taifa. Similarity: 0.32

3 days after.

Maandamano Iran kuunga mkono utawala Maelfu ya watu waliandamana katika miji mbali mbali nchini Iran, katika hatua ya kuonesha uimara wa utawala baada ya siku kadhaa za machafuko na televisheni ya taifa ilionesha watu wengi wakiandamana katika miji kadhaa. Similarity: 0.37

4 days after.

Walioshiriki maandamano Iran kuadhibiwa Adhabu kali inawasubiri walioshiriki maandamano ambayo yameikumba Iran kwa kipindi cha wiki moja iliyopita. Na haya ni kulingana na kamanda mmoja mkuu wa jeshi la Iran anayesisitiza kwamba maandamano hayo yamekwisha. Similarity: 0.41

5 days after.

Maandamano ya kuiunga mkono serikali kufanyika Iran Maandamano ya kuiunga mkono serikali ya Iran yanatarajiwa kufanyika mjini Tehran Ijumaa huku uongozi wa nchi hiyo ukitaka kuyamaliza machafuko yaliyoshuhudiwa wiki iliyopita. Similarity: 0.36

de

Tote bei regierungskritischen Protesten im Kongo Similarity: 0.35

en

Congo security forces accused of killing two during anti-government protests Similarity: 0.38

fr

RDC. Un mort par balles dans le Kasaï Similarity: 0.36

République démocratique du Congo : tirs de l'armée à Kinshasa, dispersion d'une messe à coup de gaz lacrymogènes Similarity: 0.32

nl

Congelese leger op straat om betogingen tegen Kabila te stoppen Similarity: 0.34

sv

Knäpptyst från utredningen i Kongo-Kinshasa Similarity: 0.32

09:26 UTRIKES Armén har öppnat eld vid kyrka i Kinshasa Similarity: 0.38

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Laurent Kabila (2)

Jason Stearns (2)

Joseph Kabila (1)

Andre Kimbuta (1)

Isaac Gamba (1)

Leonie Kandolo (1)

Zainab Aziz (1)

Ida Sawyer (1)

Pierrot Mwanamputu (1)

Jacob Safari (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center