Umati mkubwa wa wafuasi wa serikali ulikusanyika katika mji mkuu wa Tehran, Mashhad na miji mingine kuadhimisha kumbukumbu ya kumalizika kwa "uasi"- ikiwa ni vurugu za mwisho nchini humo zilizozuka baada ya uchaguzi wa 2009. Serikali ya Iran imewaonya watu dhidi ya kufanya maandamano zaidi hii leo....