Sunday, October 29, 2017

Puigdemont ataka upinzani wa kidemokrasia dhidi ya Uhispania Kiongozi wa jimbo la Catalonia Carles Puigdemont ameipinga hatua ya Serikali kuu ya Uhispania kumuondoa madarakani. Amehimiza kufanywa upinzani wa kidemokrasia dhidi ya utawala wa moja kwa moja kutoka Uhispania.  ar  bg  de  en  es  et  pt  ru  sl

Puigdemont ameilaani serikali kuu kwa kuikandamiza ari ya Wacatalonia wanaotaka uhuru. Ameongeza kuwa hatua ya Serikali ya waziri mkuu wa Uhispania Mariano Rajoy kuondoa mamlaka ya ndani ya Catalonia, kwa mara ya kwanza tangu utawala wa kidikteta wa Francisco Franco kati ya mwaka 1939-1975 ni uchokozi.

deutschewelle-sw 4:48:00 AM CET

5 days before.

Mgogoro wa kisiasa Catalonia unazidi kupanuka Serikali ya jimbo la Catalonia inatarajiwa kukutana kujadili mpango wa Uhispania kuchukua udhiibiti wa moja kwa moja wa eneo hilo, kikao ambacho wengi wanahofia huenda kikawapa nafasi ya kujitangazia Uhuru wao. Similarity: 0.71

2 days before.

Catalonia yatangaza uhuru, Uhispania yajiandaa kuichukuwa Uhispania imekumbwa na matetemeko mawili ya kisiasa kwa wakati mmoja. Bunge la Catalonia limepiga kura kuanzisha mchakato wa uhuru, huku serikali kuu ya Uhispania ikipata mamlaka ya kulitawala moja kwa moja. Similarity: 0.74

1 day before.

Uhispania yadhibiti hatamu za uongozi Catalonia Serikali kuu ya Uhispania imedhibiti hatamu za uongozi wa jimbo la Catalonia, imewapokonya nyadhifa zao viongozi wa serikali iliyoasi, siku moja baada ya wabunge kutangaza uhuru wa jimbo hilo tajiri, Similarity: 0.70

ar

الكاتالونيون المؤيدون للبقاء في اسبانيا يتظاهرون في برشلونة الاحد Similarity: 0.30

bg

Сепаратистите в Каталуния биха загубили мнозинството си след изборите Similarity: 0.33

de

Unabhängigkeitsgegner demonstrieren in Barcelona Similarity: 0.39

en

Million demonstrators march in Similarity: 0.41

es

Como si Barcelona fuera independiente Similarity: 0.38

Horario y dónde ver en TV el Girona - Madrid Similarity: 0.32

et

Reporter: Kataloonia juhile soovitakse vanglat Similarity: 0.36

pt

New Articles Similarity: 0.36

ru

Мадрид и Барселона: столкновение принципов Similarity: 0.37

sl

Množica v Barceloni za enotnost Španije Similarity: 0.40

Puigdemont uživa podporo svojega namestnika Similarity: 0.32

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Mariano Rajoy (2)

Francisco Franco (1)

Soraya de Santamaria (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center