Tuesday, October 24, 2017

Mgogoro wa kisiasa Catalonia unazidi kupanuka Serikali ya jimbo la Catalonia inatarajiwa kukutana kujadili mpango wa Uhispania kuchukua udhiibiti wa moja kwa moja wa eneo hilo, kikao ambacho wengi wanahofia huenda kikawapa nafasi ya kujitangazia Uhuru wao.  bg  de  fr  it

Rais wa Catalonia Carles Puigdemont ameliomba bunge kujadili na kupiga kura ya namna ya kuujibu mpango wa serikali kuu ya Uhispania, uliyotangazwa siku ya Jumamosi na Waziri Mkuu Mariano Rajoy. Bunge hilo limepanga kuandaa mjadala huo siku ya Alhamisi.

deutschewelle-sw 6:31:00 PM CEST

6 days before.

Maelfu waandamana mjini Barcelona Maelfu ya watu wameandamana katika mitaa ya Barcelona baada ya mahakama nchini humo kuamuru viongozi wawili wa jimbo la Catalonia lenye utawala wa ndani kutiwa mbaroni . Similarity: 0.44

5 days before.

Mvutano wa Uhispania bado waendelea Kiongozi wa Catalonia Carles Puigdemont atishia kutangaza uhuru wa jimbo lake ikiwa hakutokuwepo na mazungumzo. Serikali ya Uhispania imesema itatumia kifungu cha katiba kufuta mamlaka ya ndani ya jimbo la Catalonia. Similarity: 0.67

3 days before.

Uhispania yachukua hatua kuipokonya Catalonia uhuru wa kujitawala Uhispania imesema itachukua hatua ya kuivunja serikali ya jimbo la Catalonia ambayo viongozi wake wanataka jimbo hilo liljitenge na kujitawala. Waziri mkuu wa Uhispania Mariano Rajoy amesema hana budi. Similarity: 0.71

3 days after.

Catalonia yatangaza uhuru, Uhispania yajiandaa kuichukuwa Uhispania imekumbwa na matetemeko mawili ya kisiasa kwa wakati mmoja. Bunge la Catalonia limepiga kura kuanzisha mchakato wa uhuru, huku serikali kuu ya Uhispania ikipata mamlaka ya kulitawala moja kwa moja. Similarity: 0.73

4 days after.

Uhispania yadhibiti hatamu za uongozi Catalonia Serikali kuu ya Uhispania imedhibiti hatamu za uongozi wa jimbo la Catalonia, imewapokonya nyadhifa zao viongozi wa serikali iliyoasi, siku moja baada ya wabunge kutangaza uhuru wa jimbo hilo tajiri, Similarity: 0.69

5 days after.

Puigdemont ataka upinzani wa kidemokrasia dhidi ya Uhispania Kiongozi wa jimbo la Catalonia Carles Puigdemont ameipinga hatua ya Serikali kuu ya Uhispania kumuondoa madarakani. Amehimiza kufanywa upinzani wa kidemokrasia dhidi ya utawala wa moja kwa moja kutoka Uhispania. Similarity: 0.71

bg

Според Мадрид кризата в Каталуния не може да се реши само с избори Similarity: 0.32

de

Katalonien bleibt im Streit mit Madrid hart und droht nun mit einer Klage Similarity: 0.32

fr

Carles Puigdemont invité au Sénat Similarity: 0.39

it

Catalogna: Puigdemont pensa a elezioni anticipate Similarity: 0.34

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Mariano Rajoy (2)

Soraya Sáenz de Santamaría (1)

Carles Puigdemont (1)

Amina Abubakar (1)

Mohammed Abdul-Rahman (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center