Wednesday, October 4, 2017

Mfalme wa Uhispania akemea kura ya kujitenga Catalonia Katika mzozo wa jimbo la Catalonia linalotaka kujitenga na Uhispania mfalme Felipe VI amewaita viongozi wa jimbo hilo watu wanaoligawa taifa. Kauli yake lakini haikuwafanya viongozi hao kulegeza kamba,  ar  en  fa  fr  it  nl

Hotuba ya Mfalme Felipe VI ilikuwa na lengo la kutuliza mgogoro huo wa kisiasa, mkubwa zaidi kuikumba Uhispania kwa miongo kadhaa, lakini badala yake inaweza kuzidisha mvutano. Mfalme aliitoa hotuba hiyo baada ya maandamano yaliyowahusisha maelfu ya watu wa Catalan, wakilaani ukatili uliofanywa na....

deutschewelle-sw 11:28:00 AM CEST

5 days before.

Catalonia kuendelea na kura ya maoni ya tarehe mosi, Oktoba Zimebaki siku mbili kabla ya kura ya kutaka uhuru wa jimbo la Catalonia. Hatua hiyo inapingwa vikali na serikai ya Uhispania lakini viongozi wa eneo hilo leo wamesisitiza kuwa hakuna litakalowazuia. Similarity: 0.52

4 days before.

Upinzani katika jimbo la Catalonia kabla ya kura ya maoni Vuguto lapamba moto katika miji ya Uhispania kabla ya kura ya maoni juu ya uhuru wa jimbo la Catalonia kufanyika hapo kesho Jumapili. Similarity: 0.47

3 days before.

Wakatalani wapiga kura kutaka kujitenga na Uhispania Polisi wa kuzuwia ghasia waliingia kwa nguvu vituo vya kupigia kura katika jimbo la Catalonia Jumapili(01.10.2017)wakipora masanduku na karatasi za kura wakizuwia kura ya maoni, serikali ikionesha mamlaka yake. Nenda kwenye makala Similarity: 0.52

2 days before.

Kura ya kujitenga yaungwa mkono Katalonia Vurugu kubwa zimeugubika mchakato wa kura ya maoni ya kujitenga kwa jimbo lenye utajiri mkubwa nchini Uhispania Nenda kwenye makala Similarity: 0.55

1 day after.

Uhispania yatupilia mbali mazungumzo na Catalonia Uhispania imekataa miito ya mazungumzo na mamlaka ya jimbo la Catalonia ambalo Jumapili liliendesha kura ya maoni yenye utata, ambayo viongozi wa jimbo hilo wanasema matokeo yanayowapa idhini ya kujitangazia uhuru Similarity: 0.71

3 days after.

Maelfu waandamana kushikiniza muafaka Catalonia Malefu ya watu wameandamana Jumamosi katika miji mbalimbali ya Uhispania wakishinikiza kufanyika majadiliano kumaliza mgogoro wa jimbo la kaskazini-mashariki la Catalonia, linalotaka kujitenga. Nenda kwenye makala Similarity: 0.55

6 days after.

Catalonia huenda ikajitangazia uhuru wake leo Kiongozi wa Catalonia anatarajiwa kuwahutubia wabunge wa mkoa huo hii leo katika hotuba ambayo wafuasi wake wana matumaini kwamba itakuwa ni tamko la kutangaza uhuru wa jimbo hilo. Similarity: 0.65

7 days after.

Uhispania yaipa masharti Catalonia Waziri Mkuu wa Uhispania Mariano Rajoy amewataka viongozi wa jimbo la Catalonia, kueleza bayana iwapo wamejitangazia uhuru, kabla serikali kuu ya mjini Madrid haijachukua hatua za kubatilisha mamlaka ya jimbo hilo. Similarity: 0.64

ar

ريال مدريد يستعيد خدمات بنزيما أمام خيتافي Similarity: 0.31

en

Spain's king denounces Catalan independence bid Similarity: 0.32

fa

در چند روز آینده استقلال خود از اسپانیا را اعلام می‌کنیم Similarity: 0.31

fr

Espagne : le roi accusé d'ignorer des millions de Catalans Similarity: 0.31

it

Madrid è ancora la piazza peggiore in Europa Similarity: 0.31

nl

Referendum Timmermans over Catalaanse kwestie: oproep tot dialoog De Europese Commissie laat zich niet kritisch uit over het Spaanse politie-optreden tijdens het Catalaanse onafhankelijkheidsreferendum. Similarity: 0.32

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Daniel Gakuba (1)

Carles Puchdemont (1)

Elizabeth Shoo (1)

Domingo Gutierrez (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center