Saturday, September 30, 2017

Upinzani katika jimbo la Catalonia kabla ya kura ya maoni Vuguto lapamba moto katika miji ya Uhispania kabla ya kura ya maoni juu ya uhuru wa jimbo la Catalonia kufanyika hapo kesho Jumapili.  ar  fa  fr  it  ru

Watu wanaounga mkono kujitenga kwa jimbo la Catalonia nchini Uhispania tayari wameanza kuelekea katika maeneo ya kupigia kura kwa ajili ya kura ya maoni iliyopangwa kufanyika kesho Jumapili. Serikali kuu ya Uhispania ambayo tayari imetuma maelfu ya askari polisi kwenye jimbo hilo inasisitiza kuwa kura hiyo haitafanyika.

deutschewelle-sw 3:17:00 PM CEST

6 days before.

Wakurdi wa Iraq wajianda na kura ya kujitenga Wakurdi wa Iraq walikuwa wanajiandaa kushiriki kura ya maoni Jumatatu kuhusu uhuru wa jimbo lao lenye mamlaka yake ya ndani, licha ya onyo ndani ya nchi na kutoka kwa majirani zake Iran na Uturuki. Similarity: 0.41

4 days before.

Wapiga kura wengi waunga mkono Uhuru wa Kurdistan Zaidi ya asilimia 90 ya wapiga kura wa Kikurdi waunga mkono uhuru wa jimbo lao la Kurdistan Kaskazini mwa Iraq, hii ikiwa ni kulingana na matokeo ya mwanzo ya kura hiyo. Similarity: 0.44

1 day before.

Catalonia kuendelea na kura ya maoni ya tarehe mosi, Oktoba Zimebaki siku mbili kabla ya kura ya kutaka uhuru wa jimbo la Catalonia. Hatua hiyo inapingwa vikali na serikai ya Uhispania lakini viongozi wa eneo hilo leo wamesisitiza kuwa hakuna litakalowazuia. Similarity: 0.75

1 day after.

Wakatalani wapiga kura kutaka kujitenga na Uhispania Polisi wa kuzuwia ghasia waliingia kwa nguvu vituo vya kupigia kura katika jimbo la Catalonia Jumapili(01.10.2017)wakipora masanduku na karatasi za kura wakizuwia kura ya maoni, serikali ikionesha mamlaka yake. Nenda kwenye makala Similarity: 0.73

2 days after.

Kura ya kujitenga yaungwa mkono Katalonia Vurugu kubwa zimeugubika mchakato wa kura ya maoni ya kujitenga kwa jimbo lenye utajiri mkubwa nchini Uhispania Nenda kwenye makala Similarity: 0.70

4 days after.

Mfalme wa Uhispania akemea kura ya kujitenga Catalonia Katika mzozo wa jimbo la Catalonia linalotaka kujitenga na Uhispania mfalme Felipe VI amewaita viongozi wa jimbo hilo watu wanaoligawa taifa. Kauli yake lakini haikuwafanya viongozi hao kulegeza kamba, Similarity: 0.47

5 days after.

Uhispania yatupilia mbali mazungumzo na Catalonia Uhispania imekataa miito ya mazungumzo na mamlaka ya jimbo la Catalonia ambalo Jumapili liliendesha kura ya maoni yenye utata, ambayo viongozi wa jimbo hilo wanasema matokeo yanayowapa idhini ya kujitangazia uhuru Similarity: 0.50

7 days after.

Maelfu waandamana kushikiniza muafaka Catalonia Malefu ya watu wameandamana Jumamosi katika miji mbalimbali ya Uhispania wakishinikiza kufanyika majadiliano kumaliza mgogoro wa jimbo la kaskazini-mashariki la Catalonia, linalotaka kujitenga. Nenda kwenye makala Similarity: 0.52

ar

رئيس اقليم كاتالونيا يدعو الى “وساطة” لحل الازمة مع مدريد Similarity: 0.30

fa

هزاران اسپانیایی علیه برگزاری همه پرسی‌ استقلال کاتالونیا تظاهرات کردند Similarity: 0.30

fr

La Catalogne se prépare à voter Similarity: 0.39

it

Referendum Catalogna, Guardia civil blocca il centro raccolta voti. Barcellona: "Voteremo lo stesso" Similarity: 0.38

ru

Ассанж назвал конфликт вокруг референдума в Каталонии "первой интернет-войной" Similarity: 0.30

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Zainab Aziz (1)

Carles Puigdemont (1)

Isaac Gamba (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center