Friday, September 29, 2017

Catalonia kuendelea na kura ya maoni ya tarehe mosi, Oktoba Zimebaki siku mbili kabla ya kura ya kutaka uhuru wa jimbo la Catalonia. Hatua hiyo inapingwa vikali na serikai ya Uhispania lakini viongozi wa eneo hilo leo wamesisitiza kuwa hakuna litakalowazuia.  ar  bg  en  nl  pt

Viongozi wanaosimamia mchakato wa kutafuta uhuru wa Catalonia wameahidi kuendelea na zoezi la kupiga kura ya maoni katika eneo hilo lenye watu milioni 7.5 licha ya pingamizi kutoka kwenye serikali ya Uhispania. Kiongozi wa jimbo hilo Carles Puigdemont amesema ana imani kubwa kwamba wapiga kura....

deutschewelle-sw 6:03:00 PM CEST

7 days before.

Dondoo muhimu za uchaguzi wa Ujerumani Raia wa Ujerumani wanapiga kura siku ya Jumapili kulichagua bunge jipya Bundestag, Bunge hilo Jipya kisha litamchagua kansela katika miezi michache ijayo. Similarity: 0.30

5 days before.

Wakurdi wa Iraq wajianda na kura ya kujitenga Wakurdi wa Iraq walikuwa wanajiandaa kushiriki kura ya maoni Jumatatu kuhusu uhuru wa jimbo lao lenye mamlaka yake ya ndani, licha ya onyo ndani ya nchi na kutoka kwa majirani zake Iran na Uturuki. Similarity: 0.40

3 days before.

Wapiga kura wengi waunga mkono Uhuru wa Kurdistan Zaidi ya asilimia 90 ya wapiga kura wa Kikurdi waunga mkono uhuru wa jimbo lao la Kurdistan Kaskazini mwa Iraq, hii ikiwa ni kulingana na matokeo ya mwanzo ya kura hiyo. Similarity: 0.46

1 day after.

Upinzani katika jimbo la Catalonia kabla ya kura ya maoni Vuguto lapamba moto katika miji ya Uhispania kabla ya kura ya maoni juu ya uhuru wa jimbo la Catalonia kufanyika hapo kesho Jumapili. Similarity: 0.75

2 days after.

Wakatalani wapiga kura kutaka kujitenga na Uhispania Polisi wa kuzuwia ghasia waliingia kwa nguvu vituo vya kupigia kura katika jimbo la Catalonia Jumapili(01.10.2017)wakipora masanduku na karatasi za kura wakizuwia kura ya maoni, serikali ikionesha mamlaka yake. Nenda kwenye makala Similarity: 0.80

3 days after.

Kura ya kujitenga yaungwa mkono Katalonia Vurugu kubwa zimeugubika mchakato wa kura ya maoni ya kujitenga kwa jimbo lenye utajiri mkubwa nchini Uhispania Nenda kwenye makala Similarity: 0.74

5 days after.

Mfalme wa Uhispania akemea kura ya kujitenga Catalonia Katika mzozo wa jimbo la Catalonia linalotaka kujitenga na Uhispania mfalme Felipe VI amewaita viongozi wa jimbo hilo watu wanaoligawa taifa. Kauli yake lakini haikuwafanya viongozi hao kulegeza kamba, Similarity: 0.52

6 days after.

Uhispania yatupilia mbali mazungumzo na Catalonia Uhispania imekataa miito ya mazungumzo na mamlaka ya jimbo la Catalonia ambalo Jumapili liliendesha kura ya maoni yenye utata, ambayo viongozi wa jimbo hilo wanasema matokeo yanayowapa idhini ya kujitangazia uhuru Similarity: 0.52

ar

عرض لتصاميم ربيع وصيف 2018 في مدريد Similarity: 0.30

bg

Обичаме Испания, но в неделя референдум ще има, заявиха каталунски лидери Similarity: 0.30

en

Catalan separatists ready to compromise on independence Similarity: 0.32

nl

Waarom is het in de EU zo oorverdovend stil rondom het referendum in Catalonië? Similarity: 0.33

pt

Milhares de agricultores defendem direito ao referendo em Barcelona Similarity: 0.32

Mourinho em tribunal espanhol em novembro acusado de fraude fiscal Similarity: 0.30

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Oriol Junqueras (1)

Zainab Aziz (1)

Carles Puigdemont (1)

Yusuf Saumu (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center