Friday, September 29, 2017

Kinaga Ubaga Matangazo ya asubuhi: 29.09.2017 Wakaazi wa jimbo la Catalonia waelezwa kuchoshwa na utawala wa serikali ya mjini Madrid, waazimia kupiga ya ndiyo kwa uhuru wa jimbo lao. Maoni kuhusu spika mpya wa bunge la Ujerumani Bundestag, Wolfgang Schaeuble - Ni mtu wa aina gani? Mfululiz wa ripoti kuhusu siku ya wazee duniani - safari hii tuko nchini Uganda. Zipo maka za mwangaza wa Ulaya, Sura ya Ujerumani na Jukwaa la manufaa.

Media Center Matangazo ya asubuhi: 29.09.2017. Wakaazi wa jimbo la Catalonia waelezwa kuchoshwa na utawala wa serikali ya mjini Madrid, waazimia kupiga ya ndiyo kwa uhuru wa jimbo lao. Maoni kuhusu spika mpya wa bunge la Ujerumani Bundestag, Wolfgang Schaeuble - Ni mtu wa aina gani? Mfululiz wa....

deutschewelle-sw 9:01:00 AM CEST

5 days after.

Hotuba ya Steinmeier kuadhimisha siku ya Muungano Magazetini 04.10.2017 Hotuba ya rais wa shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Frank-Walter Steinmeier kuadhimisha siku ya muungano na kitisho cha kupoteza umuhimu wake chama cha Social Democratic-SPD ni miongoni mwa mada magazetini. Similarity: 0.31

6 days after.

Uhispania yatupilia mbali mazungumzo na Catalonia Uhispania imekataa miito ya mazungumzo na mamlaka ya jimbo la Catalonia ambalo Jumapili liliendesha kura ya maoni yenye utata, ambayo viongozi wa jimbo hilo wanasema matokeo yanayowapa idhini ya kujitangazia uhuru Similarity: 0.30

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center