Tuesday, September 12, 2017

Shehena ya usaidizi kwa warohingya yawasili Bangladesh  da  en  fa  fr  it  nl  pt  sv  tr

Wakimbizi wa Rohingya huko Cox’s Bazar wapata misaada ya kibinadamu ikiwemo ya afya. . Picha: Azam Sheikh Ali Haider / UN Migration Agency (IOM) 2017. Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limefikisha shehena ya kwanza ya misaada ya dharura kwa warohingya wa Myanmar waliosaka hifadhi nchini Bangladesh.

unmultimedia 6:25:00 PM CEST

7 days before.

Maelfu wanaokimbia machafuko Myanmar shakani: UNHCR Similarity: 0.65

2 days before.

Waasi wa Rohingya watangaza kusitisha mapigano Waasi wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar wametangaza usitishaji mapigano wa mwezi mmoja ili kuyaruhusu makundi ya misaada kuwafikia walengwa kaskazini magharibi mwa nchi hiyo. Similarity: 0.53

1 day before.

IOM yasaka fedha kusaida warohingya nchini Bangladesh Similarity: 0.54

1 day after.

#Myanmar acha operesheni za kijeshi dhidi ya warohingya- Guterres Similarity: 0.52

2 days after.

Janga hili la jamii ya Rohingya nchini Myanmar Janga jipya la wakimbizi kutoka jamii ya Waislamu ya Warohingya ambapo wengi wao wanaishi katika mkoa wa Rakhine nchini Myanmar lilianza Agosti 25, ambapo walilazimika kukimbia operesheni ya Jeshi la nchi hiyo. Katika Makala ya Mbiu ya Mnyonge tunaliangazia janga hili la jamii ya Rohingya nchini Myanmar. Ungana naye Mohammed Abdul-Rahman kwa mengi zaidi. Similarity: 0.41

UNFPA yachukua hatua kulinda afya ya uzazi kwa warohingya Similarity: 0.40

5 days after.

Watoto 150,000 wa Rohingya kuchanjwa dhidi ya surua, polio na Rubella: Similarity: 0.37

6 days after.

Mashirika ya haki za binaadamu yataka UN kuiwekea vikwazo Myanmar Mashirika ya haki za kibinaadamu yawahimiza viongozi wa dunia kuliwekea vikwazo jeshi la Myanmar linalodaiwa kuwafurusha Waislamu 400,000 wa jamii ya Rohingya katika kile kinachosemekana kuwa safisha safisha ya kikabila. Similarity: 0.34

7 days after.

Vituo vya afya vyazidiwa , wakimbizi wa Rohinga wakiendelea kumiminika Cox's Bazar Similarity: 0.55

da

Medie: FN-råd tager humanitær krise i Myanmar op Similarity: 0.32

en

Global split over Rohingya crisis as China backs Myanmar crackdown Similarity: 0.36

fa

تعداد مسلمانان کشته شده در میانمار چقدر است؟ Similarity: 0.31

همدردی کودکان موسسه گلستان علی (ع) مشهد با کودکان ستمدیده میانمار Similarity: 0.30

fr

Birmanie: "nettoyage ethnique" selon l'ONU, 300.000 Rohingyas réfugiés au Bangladesh Similarity: 0.37

it

Rohingya, Premier Bangladesh: "Conosciamo il loro dolore" Similarity: 0.35

nl

Vluchtelingencrisis Bangladesh: Rohingya moeten terug naar Birma Volgens de VN zijn inmiddels al 370.000 moslims uit Birma naar het buurland gevlucht. De EU stelt drie miljoen beschikbaar voor noodhulp. Similarity: 0.39

pt

Êxodo dos rohingyas de Mianmar divide comunidade internacional Similarity: 0.31

sv

Extra FN-möte om Burmakrisen Similarity: 0.31

15:58 UTRIKES Kritiken växer mot Burmas Suu Kyi Similarity: 0.31

tr

Gandi'nin torunundan Myanmar liderine Arakan mektubu! Similarity: 0.37

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Adrian Edwards (1)

Jean Lieby (2)

George Okoth-Obbo (2)

Sheikh Ali Haider (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center