Tuesday, September 12, 2017

Korea Kaskazini yawekewa vikwazo vipya Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limeiwekea vikwazo vipya Korea Kaskazini, ikiweka marufuku ya uuzaji wa nguo katika nchi za kigeni na kudhibiti usafirishaji wa bidhaa za mafuta.  ar  bg  da  de  en  es  et  fa  fr  it  nl  no  pt  ru  sv  tr  hu

Likiungwa mkono na China na Urusi baraza hilo lenye nchi 15 wanachama limepiga kura kwa kauli moja kuridhia vikwazo vilivyoandaliwa na Marekani, mwezi mmoja baada ya kupiga marufuku makaa ya mawe, madini ya risasi na vyakula vya baharini, kufuatia hatua ya Korea Kaskazini kufyetua kombora la masafa marefu linaloweza kuvuka mabara.

deutschewelle-sw 10:48:00 AM CEST

3 days after.

Korea Kaskazini yazidi kuionyesha dunia ubabe Korea Kaskazini imefanya jaribio lingine la kombora lililopita kaskazini mwa Japan kabla ya kutua katika bahari ya Pacific, na kusababisha ukosoaji kutoka jumuiya ya kimataifa. Kombora hilo linaweza kufika hadi km 5000. Similarity: 0.73

4 days after.

Tanzania: Hatuungi mkono nyuklia za Korea Kaskazini... Similarity: 0.75

7 days after.

Trump ataka dunia iishinikize Korea Kaskazini Rais Donald Trump amewahimiza wanachama wa Umoja wa Mataifa kuiwekea shinikizo Korea Kaskazini kuachana na silaha zake za kinyuklia akisema suala hilo ni moja ya changamoto kubwa duniani. Nenda kwenye makala Similarity: 0.72

Tishio la nyuklia,ujumbe thabiti uonane na Rais wa DPRK- Buhari Similarity: 0.32

ar

ترامب يعتبر العقوبات ضد بيونغيانغ «خطوة صغيرة» | بتوقيت غرينتش Similarity: 0.49

bg

САЩ не искат война със Северна Корея Similarity: 0.31

da

FN straffer Nordkorea for atomtest med nye sanktioner Similarity: 0.35

de

Atomkonflikt: Uno beschränkt Öllieferungen an Nordkorea Similarity: 0.33

en

Analysis: What will be the impact of new sanctions on North Korea - and what more can China do? Similarity: 0.34

es

La ONU aprueba por unanimidad nuevas sanciones a Corea del Norte Similarity: 0.37

et

ÜRO Julgeolekunõukogu toetas üksmeelselt Põhja-Korea sanktsioone Similarity: 0.35

fa

قطعنامه سازمان ملل نشان داد جهان نمی تواند کره شمالی هسته ای را تحمل کند Similarity: 0.35

fr

L'ONU adopte à l'unanimité de nouvelles sanctions contre la Corée du Nord Similarity: 0.47

hu

Észak-Korea: A szenvedés új mélységei várnak Amerikára Similarity: 0.31

it

Corea del Nord, all'unanimità le nuove sanzioni Onu Similarity: 0.50

nl

VN-Veiligheidsraad stemt unaniem voor nieuwe sancties tegen Noord-Korea Similarity: 0.36

no

FNs sikkerhetsråd godkjenner nye sanksjoner mot Nord-Korea Similarity: 0.30

pt

ONU decreta o reforço de sanções à Coreia do Norte Similarity: 0.37

ru

Россия и Китай поддержали санкции ООН против КНДР Similarity: 0.33

sv

Trump om Nordkorea: Sanktionerna bara början Similarity: 0.46

tr

Kuzey Kore’den ABD’ye bir tehdit daha Similarity: 0.32

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Angela Merkel (1)

Nikki Haley (1)

Donald Trump (1)

Bruce Amani (1)

Liu Jieyi (1)

Lilian Mtono (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center