Thursday, April 20, 2017

Mzozo wa Korea ya Kaskazini Mkuu wa sera ya nje wa Umoja wa Ulaya Federica Mogherini amesema China na Ulaya wana jukumu na maslahi ya pamoja ya kuepusha vita kwenye rasi ya Korea.  ar  de  en  fr  nl  no  pt  ro  ru  sv  tr

Katika hutuba yake siku ya Alhamisi kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu katika siku yake ya mwisho ya ziara yake mjini Beijing, Mogherini amesema mgogoro na Korea Kaskazini unaweza kuwa na athari za kimataifa. Federica Mogherini alisema kuwa China na Umoja wa Ulaya wana maslahi na majukumu ya pamoja ya....

deutschewelle-sw 3:29:00 PM CEST

5 days before.

China yaionya Marekani kuhusu Korea kaskazini China imetoa onyo kali jana Ijumaa (14.04.2017)kwamba mzozo kuhusu Korea kaskazini unaweza kuzuka wakati wowote, wakati Pyongyang ikiapa kujibu bila huruma iwapo Marekani itachukua hatua yoyote ya kijeshi. Similarity: 0.74

4 days before.

Jaribio la kombora la Korea kaskazini lashindwa Jaribio jipya la kufyatua kombora Korea kaskazini limeshindwa wakati liliporipuka baada ya kufyatuliwa Jumapili(16.04.2017) siku moja baada ya nchi hiyo kuonesha hazina yake ya makombora katika gwaride kubwa la kijeshi. Similarity: 0.62

2 days before.

Makamu wa rais wa Marekani Pence aionya Korea kaskazini Makamu wa rais wa Marekani Mike Pence ameihakikishia Japan leo(18.04.2017) kuwa Marekani inasimama kwa asilimia 100 nyuma yake mshirika mkuu katika eneo la Asia katika juhudi za kuzuwia kitisho kutoka Korea kaskazini. Similarity: 0.84

1 day before.

Marekani: Hatutaivumilia tena Korea Kaskazini Similarity: 0.79

6 days after.

Mfumo wa kukinga makombora waekwa Korea Kusini Korea Kusini imesema sehemu muhimu za mfumo wa ulinzi wa Marekani wa kukinga makombora zimeshawekwa nchini humo, baada ya hasimu wake Korea Kaskazini kuonyesha nguvu zake za kijeshi. Ni hatua pia iliyoikasirisha China. Nenda kwenye makala Similarity: 0.71

7 days after.

Marekani yaahidi kuibana Korea Kaskazini hadi izungumze Marekani imeahidi kuongeza mbinyo dhidi ya Korea Kaskazini, kuilaazmisha kurejea kwenye meza ya mazunguzo kuhusiana na programu yake ya nyuklia, lakini ilisema hailengi kuuangusha utawala wa Kim Jong-Un. Similarity: 0.79

ar

مجلس الأمن يندد بشدة بتجربة كوريا الشمالية صاروخا Similarity: 0.31

de

Nordkorea warnt USA: "Legt euch nicht mit uns an" Similarity: 0.31

en

Nation by nation, how Trump has shaken up Koreas, neighbors Similarity: 0.34

fr

Le coup de bluff de Trump avec la Corée du Nord Similarity: 0.30

nl

Nucleaire testlocatie Noord-Korea mogelijk op 'standby': personeel speelt volleybal Similarity: 0.37

no

Her «bomber» Nord-Korea amerikansk by til full applaus Similarity: 0.33

pt

Estados Unidos descartam negociações diretas com Kim Jong-un Similarity: 0.38

ro

SUA ar putea adăuga din nou Coreea de Nord pe lista statelor care sprijină terorismul Similarity: 0.34

ru

СБ ООН не смог осудить ракетное испытание КНДР из-за разногласий между Россией и США Similarity: 0.33

sv

Säkerhetsrådet fördömer Nordkorea Similarity: 0.32

tr

<![CDATA[Dolar/TL 3,65'in altını gördü]]> Similarity: 0.31

Help about this topicCountries

Help about this topicPlaces

Help about this topicRelated People

Federica Mogherini (1)

Mike Pence (1)

Yang Jiechi (1)

Donald Trump (1)

Grace Kabogo (1)

Help about this topicOther Names

Help about this topicAlerts

Joint Research Center